Form 5 hatusomi walimu hawafundishi

Form 5 hatusomi walimu hawafundishi

wewe kijana usipojisomea utashangaa tu unaambiwa pepa kesho hapo ndio utadata
 
Hukujua kwamba walimu hakuna?Ndio maana katika Selection Form mkapewa option ya technical colleges ila kwa kuwa mnapenda sifa za kusoma a level mnajifanya wabishi hamtaki kwenda vyuoni!Sasa piga hiyo miaka yako miwili,then mambo yasipokuwa mazuri ndio utajua umuhimu wa hivi vyuo vya ufundi!
 
Back
Top Bottom