Form 5 school october

Form 5 school october

nashy pascal

Senior Member
Joined
May 23, 2013
Posts
111
Reaction score
2
daa kwa asilimia kubwa,kuanzia tarehe 5 july hii shule nying za A LEVELS,znafnguliwa hususan kwa wale wanaoingia form 6, only, JE? kwa form 5,waendelee kula bhataaa na vjitwishen vya mtaaan mpaka octoba?
 
Heading na ulichoandika ndan mbona havifanani?JIPANGE UPYA THEN URUDI
 
Hawa watu wanamna hii wanaokurupuka, wananiboa.
 
loading......data processing......connection.....error.labda umechanganya jamvi jipange na sio kukulupuka kuandika uzi!.
 
  • Thanks
Reactions: awp
daa kwa asilimia kubwa,kuanzia tarehe 5 july hii shule nying za A LEVELS,znafnguliwa hususan kwa wale wanaoingia form 6, only, JE? kwa form 5,waendelee kula bhataaa na vjitwishen vya mtaaan mpaka octoba?

Kama kawaida yenu kukurupuka.....,wasahihishaji wa mitihani wana kazi kweli
 
Nchi ya ajabu sana,jambo dogo selection/joining date A level pia is a matter of intense speculation. Nalo hili kama mikataba maliasili linagubwika na usiri!
 
aliandika kwa kujiamini kumbe pumba
 
Kwanza we post zina kuhusu au unaropoka 2 me nnavyoona hujui maana ya october kajipange urud
 
Back
Top Bottom