Form 5 wa mwaka huu ni vichwamaji

Joined
May 4, 2013
Posts
27
Reaction score
22
Kufuatia matokeo mabovu ya kidato cha nne na serikali ya CCM kuamua kuyachakachua kwa kuwapa maksi za bule waliofeli kwa malengo ya kujisafisha kiasiasa, Wakuu wa shule za kidato cha 5 na cha 6 wajiandae kupata wanafunzi mbumbumbu (vichwamaji). Umefika wakati serikali iache kuingiza siasa ktk elimu kwani kufanya hivyo ni kuizika elimu ya TZ kuzimu. Ni bora kupata wanafunzi wachache bora kuliko wanafunzi wengi feki.Hii inaonyesha dhahiri kuwa serikali ya CCM NI MOJAWAPO YA MAAJABU SABA YA DUNIA AMBAPO WALIOFELI HUONGEZEWA MAKSI ILI WAKAFIE MBELE. KUONDOA UCHAFU HUU NI CHADEMA KUSHIKA NCHI 2015
 
acha kutugeneralise kwa kutuita vichwamaji siku hizi kila mtu anajifanya mchambuzi fikiria vizuri kabla ya kuandika sio kukurupuka tu!
 

Nakubaliana nawe kwa 100%
 
Unanuka mdomo mwanangu!!!!! embu kapige mswaki ndo uje na uz mwingine maana naisi umejinyea wewe!!! ndomaana unaropoka... "samahan kwa kutumia lugha mbaya mshikaj anakera ebooooooooo!!!!"
 
Utashangaa kuona watu wanashangilia matokeo mapya badala ya kulia. Ilichofanya serikali ni sawa na mtu aliyeuchi kuziba USO akidhani kajificha. Serikali inaangalia kujaza madarasa na si ubora kazi kwetu watoto wa masikini.
 
Kumbe wahanga wa mfumo CCM ni wengi, sasa wanachekelea baada ya "kuwezeshwa". Nashindwa kuelewa nini kinacho-boa kuhusu thread hii zaidi ya kwamba imejaa ukweli
 
Kumbe wahanga wa mfumo CCM ni wengi, sasa wanachekelea baada ya "kuwezeshwa". Nashindwa kuelewa nini kinacho-boa kuhusu thread hii zaidi ya kwamba imejaa ukweli

Wapumbavu ni wengi sana. So hata five na six watapewa alama za bure tu.
 
Utashangaa kuona watu wanashangilia matokeo mapya badala ya kulia. Ilichofanya serikali ni sawa na mtu aliyeuchi kuziba USO akidhani kajificha. Serikali inaangalia kujaza madarasa na si ubora kazi kwetu watoto wa masikini.

Kweli watoto wakimaskini kazi tunayo.
 
sio kosa lako kwa sababu we mwenyewe lazma tu kama ulifaulu ni kwa kubahatisha ndio maana uwezo wako wa kufikiri ni mkubwa sana kama chembe ya mchanga
 
Acha mambo yako kuhusu chadema kuchukua bora ichukue ila kusema et 4m 5 vichwa maji ata chako ni maji:focus:
 
unanuka mdomo mwanangu!!!!! Embu kapige mswaki ndo uje na uz mwingine maana naisi umejinyea wewe!!! Ndomaana unaropoka... "samahan kwa kutumia lugha mbaya mshikaj anakera ebooooooooo!!!!"

sasa maksi za mezani wapi na wapi? Kama ni kufaulu mbona bado division one zipo na kwa nini si za wanaokaliwa mezani.?
 

Umekosea sana kuingiza mambo ya chadema na issue hizi wala sioni muunganiko wowote kati ya thread yako na chadema. Ni hayo tu!
 
Tunajua umekuja kwa kwa staili ya kampeni, ila kabla ya kampeni yako ni vizuri ungekuwa na ujuzi wa kwa nini wanafunzi walifeli. Kilichowafelisha wanafunzi ni mfumo mpya wa upangaji matokeo na si ubovu wao ni vizuri ukalijua hilo. Mfumo wa zamani (from 2011 to back) ndio uliotumika kupata matokeo haya mapya.
Sasa tuseme na hao waliopita wote walikuwa hama hivyo we unavyodhani wako hawa wa sasa hivi.
NB. Usiseme jambo bila ya kuwa na uyakini kwalo kwani huko ni kuwapoteza wenzako wasiojua kama wewe.
 
fikiria kwanza kijana kabla ya kukurupuka yawezekana wew ndio KICHWA MAJI(MBUMBUMBU) haya yanachakatwa kwa kufuata mifumo ya kawaida ya nyuma!! Ar u thre?

Ha ha ha!
Ndio mnavyo danganywa?
Form Four wakiwezeshwa,wanaweza!
 
inawezekana,,,lakini jaribu kumsamamisha kijana wako na graduates wa mwaka jana wa st francis,feza,marian,don bosco seminary mafinga,kibaha,mzumbe,,,,,we unaangalia watoto wasioandaliwa wa shule za lowassa(kata),,, twice mkuu
 

Sijakuelewa mkuu ,kwahyo unachomaanisha hata ambao walifaulu tangu matokeo ya kwanza nao ni vilaza? Manake kwnye title umeandika form 'five mwaka huu ni vichwa maji' dizaini kama umekurupuka mkuu, next time fikiri kwanza kabla ya kuropoka ,ila siyo mbaya na ww umetekeleza haki yako ya kikatiba kwamba kila mtu anahaki ya kuzungumza, ingawa ulichokizungumza ni mahindi yaliyochanganywa na pumba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…