Form 5 wa mwaka huu ni vichwamaji

Form 5 wa mwaka huu ni vichwamaji

Kufuatia matokeo mabovu ya kidato cha nne na serikali ya CCM kuamua kuyachakachua kwa kuwapa maksi za bule waliofeli kwa malengo ya kujisafisha kiasiasa, Wakuu wa shule za kidato cha 5 na cha 6 wajiandae kupata wanafunzi mbumbumbu (vichwamaji). Umefika wakati serikali iache kuingiza siasa ktk elimu kwani kufanya hivyo ni kuizika elimu ya TZ kuzimu. Ni bora kupata wanafunzi wachache bora kuliko wanafunzi wengi feki.Hii inaonyesha dhahiri kuwa serikali ya CCM NI MOJAWAPO YA MAAJABU SABA YA DUNIA AMBAPO WALIOFELI HUONGEZEWA MAKSI ILI WAKAFIE MBELE. KUONDOA UCHAFU HUU NI CHADEMA KUSHIKA NCHI 2015



CDM na siasa zao nyepesi, hebu nikuulize nani ameongezewa maksi, unavyoongea kama hujaenda shule na hujui kilichofanyika hadi maksi zikabadilishwa, kwanza tengua kauli yako "form5 wa mwaka huu ni vichwamaji" sababu hututendei haki
 
Back
Top Bottom