AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
Jaman,wiki iliyopita necta wametoa ratiba mtihan mwez wa 5,lakn kuna m2 kasema tbc walitangaza kuwa kuna mabadiliko kuwa walimu wakuu wameishawishi wizara,wameamua mtihan ufanyike february.kuna ukwel wowote hapa?.naomba mxaada wa kujibiwa.