Form five 2013

NaCl

Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
40
Reaction score
3
Serikali imewasahau wanafunzi wa kidato cha tano mwaka huu?
 
Usihofu kijana wangu, mzigo wiki ijayo au ijumaa hii.
Source.SIRI
 
nashukuru mungu still i can dfyn PHYSICS wiz no hesitation, kuna hawa wanaojiitaga wadau wa elimu, WAKO WAP?, au ndio waltaka kuuza sura kwenye issue ya tokeo pekee?, msingi mbovu bt ukuta ukianguka km gunia tupu, wanakuwa wa 1 kulalamika kulko hata victims wenyewe.
 
We kilaza nina wasiwasi na elimu yako maana hujui hata uumbaji wa maneno,eti mbaka!

Naona imekutouch siajabu na wewe ni mmojawapo wa four au ZERO, na hata kama umefaulu, basi itakuwa kwa standardization, shame on u.
 
We kilaza nina wasiwasi na elimu yako maana hujui hata uumbaji wa maneno,eti mbaka!

Aah nilikusahau, kumbe we ndo yule kilaza unaeshauri mtu wa arts kusoma afya ,teh teh kajipange K.I.L.A.Z.A wewe!!
 
Nendeni private mkapige msuli madogo ili mwaka 2015 baada ya matokeo yenu ya Form6 msije mkaanza kutulilia mara sijui certificate mara diploma....
 
Nendeni private mkapige msuli madogo ili mwaka 2015 baada ya matokeo yenu ya Form6 msije mkaanza kutulilia mara sijui certificate mara diploma....

Jomba, kila mtu angependa kwenda Private, sema pesa , pesa, Mkuu!
 
Baba yangu anakatwa kodi kila mwisho wa mwezi wacha hiyo kodi nikaitendee haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…