Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usihofu kijana wangu, mzigo wiki ijayo au ijumaa hii.
Source.SIRI
Wanafunzi wachache mishule kibao hpo ndo utata una kuja
na ndipo hapo watakapochukua mbaka wa four ,walivyokuwa na akili mbovu.
We kilaza nina wasiwasi na elimu yako maana hujui hata uumbaji wa maneno,eti mbaka!
We kilaza nina wasiwasi na elimu yako maana hujui hata uumbaji wa maneno,eti mbaka!
Nendeni private mkapige msuli madogo ili mwaka 2015 baada ya matokeo yenu ya Form6 msije mkaanza kutulilia mara sijui certificate mara diploma....
na ndipo hapo watakapochukua mbaka wa four ,walivyokuwa na akili mbovu.
na ndipo hapo watakapoendelea kuwa vilaza zaidi
Ndipo hapo mi dvs zero itkapokuwa 90%
teh teh na ndipo hapo tutakapokuja kupata maviongozi vilaza kama...............na.............!
Ndipo hapo mi dvs zero itkapokuwa 90%
na ndipo hapo watakapokuja kupasua kichwa badala ya mguu
teh teh na ndipo hapo tutakapokuja kupata maviongozi vilaza kama...............na.............!