Form five majina yashatumwa mtapata joining instructions wiki ijayo

the muter

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
1,347
Reaction score
1,828
Majina ya form five waliochaguliwa yashatumwa kwenye mashule,na kwa sasa wanaandaa joining instructions kwa shule niliyoona majina hayo,shule hiyo imepelekewa wanafunzi 98 kwa comb ya HGL,HGE,EGM NA HKL.na barua hiyo inaonyesha kuripoti ni wiki ya mwisho mwezi huu
 
still i keep a weather eye on the horzon, selections will b arise.
 
kama joining instruction next week na selection zinatoka lini?
 
kama joining instruction next week na selection zinatoka lini?

Selection ni tayari ndio maana anasema "Joining Instructions" zinaandaliwa kutumwa kwa wanafunzi waliopangwa kwenye hizo shule awp
 
Last edited by a moderator:
Reactions: awp
Selection ni tayari ndio maana anasema "Joining Instructions" zinaandaliwa kutumwa kwa wanafunzi waliopangwa kwenye hizo shule awp
selection tayari, zipo wapi? mi nasema bado coz hazijatoka tukaziona
 
kwa form five hata mwenyewe nimeshudia shule fulani second master anaandika address za wanafunzi
 

mh, inasikitisha kwa kwel, yan watu wanafanyia majarbio maisha ye2 cc.. They will pay for this.
 
inakuaje mbona tumesizi mtaani ahadi mpaka lini tumechoka na ahadi za uongo
 
nipo fild shule Fulan.mbona cjaona mambo ayo. Post bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…