Majina ya form five waliochaguliwa yashatumwa kwenye mashule,na kwa sasa wanaandaa joining instructions kwa shule niliyoona majina hayo,shule hiyo imepelekewa wanafunzi 98 kwa comb ya HGL,HGE,EGM NA HKL.na barua hiyo inaonyesha kuripoti ni wiki ya mwisho mwezi huu