Form five selections ni lini wana jamii?

Joined
May 29, 2013
Posts
62
Reaction score
42
Kwa taarifa nilizonazo nafahamu kwamba Form Six wanaanza muhula mpya kuanzia tarehe 8/7 na kuendelea, kinachonisumbua akil NI kwamba had sasa. form five SELECTIONS kwa madogo tulomaliza last one year bado hazieleweki NI lini zinatangazwa! kwa aliye na taarifa atufahamishe! Asante sana!
 
labda wanamsubiri Kinana aruhusu maana ndio katibi mkuu wa chama Tawala
 
jumatano tarehe 10 (uhakika) na walifanyia Arusha Technical College!
 
hapa naona second master wa shule fulani jina kapuni ndo anaandika address kwenye join instructions
 
wizara wameamua nirudi kusoma nyumbani PCM asanteni sana wizara! sasa ngoja nianze kupanga mavitu then nkajitupie na PCM yangu! tchaaaaooooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…