Joseph Isaack
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 450
- 89
Unajieleza vzr sana, unaonyesha umekomaa ki ufahamu japokuwa matokeo siyo. Bado hujashindwa chochote kwa mtizamo wangu jipe moyo hivyohivyo na Mungu akutangulie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ENGLISH na HISTORY sasa bado najiuliza imekuaje. Biology naweza kukubali kutokana na ukosefu wa mwalimu wa somo hilo toka niko form 1. Kitu ambacho kilinifanya kukosa msingi mzuri wa bio.
Vile vile unaweza kwenda ualimu wa shule ya msingi ukishajipanga kifedha utajiendeleza kwan point hizo zinakidh vigezo vya ualimu lkn kama huupend usiende angalia kwingine usije kufelisisha wadogo zako
Sasa inategemea wewe mwenyewe ulikuwa unapenda masomo ya sayansi au biashara au Sanaa.
Ila ushauri wangu ni kwamba inabidi ujifunze masomo yatakayokujenga kuwa mjasirimali kwenye maeneo kama ufundi na kama alivyooanisha mmoja wa wachangiaji hapo juu.
ENGLISH na HISTORY sasa bado najiuliza imekuaje. Biology naweza kukubali kutokana na ukosefu wa mwalimu wa somo hilo toka niko form 1. Kitu ambacho kilinifanya kukosa msingi mzuri wa bio.
Ninatoa shukrani kwa Mungu kwa matokeo nilio yapata.
Wana jukwaa ninaomba ushauri nifanye nini kulingana na matokeo yangu....
Civs-D
Kisw-D
Hist-F
Geo-D
Engl-F
Bio-F
Phy-C
Chem-D
B/Math-D
Div.. IV.28.
Shukrani zangu ziwafikie wote.
Dogo sababu yako ni nyepesi sana kulinganisha na ugumu wa swali uliloulizwa, kama mpaka hivi sasa ujatambua nafasi yako katika kufanya vizuri kwenye mitihani, na kusingizia kigezo cha mwalimu, basi bado una safari ndefu.
Unakumbuka hii, 25% shule na 75% juhudi binafsi? hii ndio imenifanya leo niwe kazini na mmiliki wa biashara kadhaa mjini hapa, ningetegemea mwalimu kwa asilimia 100 basi naamini ningekuwa miongoni mwa watu wanaoilalamikia serikali kwenye kila kitu.
Jipange dogo kwani, kudondoka na kushindwa kabisa kuamka, ndio maana ya kufeli, nje ya hapo tunaita changamoto tu.
Hapo umesema vyema mkuu! Ni bora aenda tuu apige certificate then diploma baadae. Mwisho wa siku na yeye atapiga degree.
ushauri mzuri sana....fanya fasta kwenda kuchukua fom ktk vyuo ya technology kama DIT,MIST na Arusha....ila fahamu kwamba ktk vyuo ivyo vya technology lazima upige short koz inayoitwa pre-entry zen ukifaulu iyo koz ndo unaanza ngazi ya certifiket na diploma...tambua iyo short koz ni ngumu kuliko mtihan wa fom 4 ama fom 6..
ushauri mzuri sana....fanya fasta kwenda kuchukua fom ktk vyuo ya technology kama DIT,MIST na Arusha....ila fahamu kwamba ktk vyuo ivyo vya technology lazima upige short koz inayoitwa pre-entry zen ukifaulu iyo koz ndo unaanza ngazi ya certifiket na diploma...tambua iyo short koz ni ngumu kuliko mtihan wa fom 4 ama fom 6..
Ninatoa shukrani kwa Mungu kwa matokeo nilio yapata.
Wana jukwaa ninaomba ushauri nifanye nini kulingana na matokeo yangu....
Civs-D
Kisw-D
Hist-F
Geo-D
Engl-F
Bio-F
Phy-C
Chem-D
B/Math-D
Div.. IV.28.
Shukrani zangu ziwafikie wote.
0.25% shule' 99.75% juhud zang.... Na hapo ndipo nilipo angukia. Sijachoka nimeinuka na safari yangu nataka iendelee hadi nifike nitakapo. Ushauri wenu ndio dira yangu! Namimi ndio nitachagua wapi pakuelekea.
Nashukur kaka
Kasome ualimu msingi, AU nenda cerificates kisha diploma, kisha university AU njoo Itende high school, ujiunge form 5 HUKU UKIPIGWA MSASA ku-resit form 4 upate credit 2 zilizo baki, kisha ufanye f.6 then mbele kwa mbele!
28
[TD="width: 4%"] IV
[/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-D HIST-D GEO-F KISW-D ENGL-D PHY-D CHEM-D BIO-D B/MATH-F
[/TD]
Mkuu nistdanavigator, top kibobo au yeyote mwenye ushauri mzuri hebu nisaidieni nami nimfanyaje/ nimpeleke wapi huyu kijana.
bwana Kel.G kama uko kweli una malengo mazuri huu ushauri ni wa mwimu sana....kama mdau alivyosema...na nna amini hivi vyuo ndio chaguo sahihi kwako hasa kwa kozi unayotaka......ushauri mzuri sana....fanya fasta kwenda kuchukua fom ktk vyuo ya technology kama DIT,MIST na Arusha....ila fahamu kwamba ktk vyuo ivyo vya technology lazima upige short koz inayoitwa pre-entry zen ukifaulu iyo koz ndo unaanza ngazi ya certifiket na diploma...tambua iyo short koz ni ngumu kuliko mtihan wa fom 4 ama fom 6..