Form four msibweteke

lachicaguapa

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
269
Reaction score
72
Nasikitika sana kuona wanafunzi wa form four wanachezea elimu hasa wanapopata nafasi ya kusoma chuoni baada ya matokeo kuwa mabaya.
Kwenda form six sio kwamba Ndio unaakili sana, na pia msidhani kusoma certificate haiitaji kusoma kwa bidii. Elimu yoyote hata mafunzo ya kupika yanahitaji mahesabu na ujue lugha. Msitese walimu kwa kufeli kwenu. Angalia ni heal ngapi mzazi ametoa kukuendeleza na juhudi ambazo mwalimu wako anazifanya ili uweze kujitegemea ukishaanza maisha..... Ushauri....sa sa
1. Usisome Kozi ya certificate ambayo huiwezi na hupendi bora urudie mitihani upate akili nini unahitaji kusoma..
2. Usidharau wazazi na walimu wanaokushauri kuhusu nini usome, maana hao wanna kujua zaidi kuliko marafiki wanaokudanganya,
,,,,,,,,,.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…