Form II & Form IV-2013

Form II & Form IV-2013

Eulers

Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
51
Reaction score
31
Leo wanafunzi wa kidato cha pili wameanza mtihani ambao utatoa picha juu ya nani aendelee kidato cha 3,nan akariri darasa na nani aende nyumban moja kwa moja.Wakati huo huo kwa baadhi ya shule wanafunzi wa kidato cha 4 wanafanya mitihani iliyoandaliwa na MOEVT.Je,mitihani hii kwa kidato cha nne itasaidia kupunguza div zero?Je,hii ndio mikakati ya BRN?
 
Kwani hiyo BRN inatarajiwa kuonekana kwa baadhi ya shule tu..??

Wangejaribu kuextend huo mtihani ufanywe na shule zote TZ..??

Na kama ingewezekana,huo mtihani ungekuwa unafanyika atleast mara 2 kwa mwaka...
 
Sio baadhi ila kuna tofauti ya Kanda. Kuna ambao walifanya mitihani hiyo mwezi wa Mei wakati wakifanya zile Zonal/Regional mocks. Ni kwa baadhi ya masomo tu, yale yenye hali mbaya zaidi -- Basic Maths, Kiswahili, English n.k. Ingawa sioni mantiki, naamini wanachofanya ni kitu kinaitwa "coaching", lengo kuwafanya wanafunzi wajue mbinu na namna ya kujibu mtihani hivyo kupata alama nyingi zaidi na sio ku-promote uelewa wa somo. Ni janga in the making lakini tuone.
 
Kwani hiyo BRN inatarajiwa kuonekana kwa baadhi ya shule tu..??

Wangejaribu kuextend huo mtihani ufanywe na shule zote TZ..??

Na kama ingewezekana,huo mtihani ungekuwa unafanyika atleast mara 2 kwa mwaka...
ndio mtihani huo unafanyika leo kwa mara ya pili
 
Hakuna cha BRN wala SRN, division zero zitakuwa kama za mwaka jana,so waache viongozi wetu wajipe moyo na BRN zao na kuwa sahau walimu ambao ndio washika dau wakubwa
 
Wizara chini ya Shukuru Kawa mbwa na Philipo Mulugo ni majanga.. Hiyo BRN imeshafeli kabla haijaanza..
 
Back
Top Bottom