Eulers
Member
- Sep 18, 2013
- 51
- 31
Leo wanafunzi wa kidato cha pili wameanza mtihani ambao utatoa picha juu ya nani aendelee kidato cha 3,nan akariri darasa na nani aende nyumban moja kwa moja.Wakati huo huo kwa baadhi ya shule wanafunzi wa kidato cha 4 wanafanya mitihani iliyoandaliwa na MOEVT.Je,mitihani hii kwa kidato cha nne itasaidia kupunguza div zero?Je,hii ndio mikakati ya BRN?