MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
mwana hicho bado kizingumkuti,nasikia kuna ubishani mkubwa bainas ya TCU, NACTE na JKT,manake wanadai kuna batch nyingine wanatakiwa waende jeshi mwez wa tisa hivyo mwaka wa masomo uanze january mwakani,lakini kuna habari kuwa vyuo na TCU hawajakubaliana na hilo,hadi sasa cjajua muafaka ni nini?