MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Habarini wadau! ebana mimi naomba kujua baada ya six kutoka jeshini kwenda vyuoni itakuwa mwezi wa ngapi? je na kwa wale wa diploma wanaotaka kuunga watawasubiria six wamalize au? swali nalouliza je, chuo itakuwa mwezi wa ngapi?
nawasilisha!!!!!!!!!!!!
:help: :help: :help: PLZ..........................
nawasilisha!!!!!!!!!!!!
:help: :help: :help: PLZ..........................