Habari zenu waungwana,kuna ndugu yanGu amefanya mitihani ya cambride na kufanikiwa kufaulu kwa matokeo yafuatayo,phyiscs-C,chemistry-B na mathematics-A anataka kusoma chuo hapa hapa tanzania,ameniuliza mimi kama anaweza kuapply hapa hapa kwa certificate zake za cambridge lakini mimi sina uelewa huo,kwa hio naomba ambae ana uelewa anisaidie,