Form six kwa mtaala wa cambridge.

Form six kwa mtaala wa cambridge.

flyn rider

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
456
Reaction score
78
Habari zenu waungwana,kuna ndugu yanGu amefanya mitihani ya cambride na kufanikiwa kufaulu kwa matokeo yafuatayo,phyiscs-C,chemistry-B na mathematics-A anataka kusoma chuo hapa hapa tanzania,ameniuliza mimi kama anaweza kuapply hapa hapa kwa certificate zake za cambridge lakini mimi sina uelewa huo,kwa hio naomba ambae ana uelewa anisaidie,
 
mwambie aende necta wabadili matokeo yake then ataweza ku apply
 
Back
Top Bottom