CharlesMunyaka
Member
- Jul 24, 2014
- 65
- 3
Yaan wabongo bwana kama mtu huwezi ukamsaidia basi wacha kauli za kukera ama kutafutia watu makosa uwezi ukawa perfect kila kitu....umesikia jerrymsigwa.....Anayetaka kusaidia anasaidia wala si lazima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa wale form six uliza any question kuhusu kujaza ud na probability ya kuchaguliwa kulingana na ufauli huu mpya
Xaxa xi ndo ashazoea hivyoHumu huwa hatutumii hizo xaxa, xixi unaeza ona watu hawakujibu kwa sababu ya hilo kosa
Hii nchi wameiua jamani kielimu uyu nae ni form six anatakiwa akasome bachela tena ndio mjanja wa wenzake anawapa info za chuo tumekwisha hao wenzake watakua wanajua ata kusoma kweli???
Kawambwa nini hiki unafanya?