Form six uliza hapa jambo lolote kuhusu UDSM

Yaan wabongo bwana kama mtu huwezi ukamsaidia basi wacha kauli za kukera ama kutafutia watu makosa uwezi ukawa perfect kila kitu....umesikia jerrymsigwa.....Anayetaka kusaidia anasaidia wala si lazima
 
kwa wale form six uliza any question kuhusu kujaza ud na probability ya kuchaguliwa kulingana na ufauli huu mpya

Habari mkuu namshukuru Mungu nimefanikiwa kupata Divn III ya 11 kutoka kombination ya HGE na nnampango wa kusoma MARKETING apo UDSM, je kuna uwezekano wa kupata nafasi kutokana ufaulu wa mwaka huu?
 
Hii nchi wameiua jamani kielimu uyu nae ni form six anatakiwa akasome bachela tena ndio mjanja wa wenzake anawapa info za chuo tumekwisha hao wenzake watakua wanajua ata kusoma kweli???

Kawambwa nini hiki unafanya?

Jamani hatuandikii kalamu humu anaweza kawa kakosea kutype hv nyie hamjawah kosea
.
.
Don't talk about someone's mistakes so as to be seen smart
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…