Form six waliopungukiwa sifa kidogo jiungeni foundation program

Tanzania Nchi Yetu Sote

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2017
Posts
505
Reaction score
872
Kama wewe ni mhitimu wa Kidato cha Sita umepata DEE, EEE, CSS, EDS, ESS, DSS, EES, EEF, DEF, kwa ufupi, kama huna D mbili kwenye masomo yako lakini una Pass Moja na Subsidiary Moja jiunge Foundation Program ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ili upate sifa ya kujiunga Degree katika vyuo vikuu mbalimbali.

Tuma maombi yako Bure kupitia www.out.ac.tz

Masomo yataanza mwezi Novemba 2022 na kukamilika Juni 2023. Tuma maombi yako sasa hivi. Ada ya programu nzima ni 690,000/= ambayo hulipwa kwa awamu.

Kwa maswali niandikie sms kupitia 0719017254 nitakupatia majibu.

WENU
Dkt. Mohamed Maguo
Mhadhiri na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Masoko
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
 
Mkuu nimesahau namba yangu ya mtiani na kituo nilichofanyia mtiani ila mwaka nakumbuka na mkoa unaweza nisaidia..??
 
Back
Top Bottom