Ugumu unakuja kwenye mambo yafuatayo:
1. Utungaji wa policy na usimamiaji,
2. Mambo ya kujitolea ni utamaduni ambao umekuwa ukiisha siku hadi siku kwenye jamii zetu.
Utungaji wa policy hauna ugumu wowote. Ugumu unaweza kujitokeza kwenye usimamiaji.
Policy
Policy ya hizi programs itafanana kama ile iliyokuwa ya kwenda jeshini. Wahitimu wa kidato cha 6 watalazimika kujishirikisha kwenye community services mara baada ya kumaliza kidato hicho na kabla ya kuingia vyuoni.
Vijana hawa watapaswa kutumikia jamii inayowazunguka kwa kipindi cha masaa kadhaa ambayo yakatakuwa sawa na utumishi wa kati ya miezi 3 6. Baada ya kutimiza masaa hayo ya utumishi, watapewa Certificate of Completion ambayo wataiambatanisha pamoja na vyeti vya shule kwa ajili ya application ya vyuo. Certificate hii ita play major part kwenye kupata admission ya chuo, i.e. hakuna chuo kinachotambulika ambacho kitaruhusiwa ku-admit mwanafunzi ambaye hajashiriki kwenye hizi programs (kama ilivyokuwa kwenye program ya kwenda jeshini).
Usimamiaji
Usimamizi unaweza kuwa mgumu kwa sababu ya masuala ya rushwa yaliyokithiri nchi kwetu. That is, baadhi ya vijana wanaweza kuishia kununua hizo certificates......
Lakini kwa kufikiri haraka haraka tu Firstly, usimamizi wa hizi programs utapaswa kuanzia katika ngazi za wilaya. Ofisi za wilaya (kwa kushirikiana na wizara ya elimu) zitapaswa kufungua kitengo kipya (tukiite CS) ambacho kitasimamia hizi programs. Wizara ya elimu itatakiwa kuwasilisha majina (na address zao) ya watahiniwa wote kwa CS. Halafu CS watapaswa kuwataarifu (kwa barua) hawa vijana wajibu wao wa kushiriki kwenye hizi programs. Then vijana hawa watawasiliana na hii CS ili kuweza kuchagua ni institution gani na aina gani ya community service watajishirikisha.
Secondly, CS watapaswa kuwa na wakala wao ambao watapangiwa kwenye usimamizi wa karibu wakati hawa vijana wana perform hizo services. Wakala hawa ndio watakuwa wamebeba ujuzi wa service zote
mfano, kwenye ujenzi wa madarasa, basi wakala atakuwa na ujuzi unaofaa kwenye masuala ya ujenzi
.hivyo hivyo, fundi seremala atakuwa wakala kwenye utengenezaji wa madawati. Wakala hawa watakuwa responsible kuanzia kwenye masuala ya attendance mpaka effectiveness ya hawa vijana kwenye kuperform service hizo.
Thirdly, service ikimalizika, wakala wataandaa report ambao wataiwasilisha kwa CS. And then, CS wakiridhika, watatuma Certifacte of Completion kwa vijana wetu. Mchezo umekwisha.
God, I make it sound so easy
.. maybe its just one of those dreams