Form za upiganaji wa ngao combat

Form za upiganaji wa ngao combat

Joined
Mar 30, 2020
Posts
68
Reaction score
106
COUNTER ATTACK - NJIA YA NGUVU
.njia hii hutumika dhidi ya adui mwenye kisu, upanga, kipande cha nondo au chupa na kadalika. Kwa ajili ya kusikia sauti haraka na ndani ya sekunde 3 - 5 tu. Pia, hutumika dhidi ya adu dhaifu awe na silaha au asiwe na silaha.
zuia shambulio la kwanza kwa nguvu sana na hakikisha adui anaumia kisha piga pigo moja la nguvu sana katika sehemu dhaifu ili adui ashindwe kabisa kukufuata au kuku shambulia tena. Baada ya kumlemaza adui kimbia usibaki katika eneo la tukio.
.
.SHAMBULIA KABLA YA KUSHAMBULIWA - NJIA YA KUMLEMAZA ADUI
njia hutumika dhidi ya adui mweye bastola au bunduki, kumshambulia ghafla kabla yeye hajatarajia kwa kasi ya ajabu una pigo zito katika sehemu hii kama koo,macho, korodani, pua au upande wa shingo. ili kumlemaza haraka , akisha lemaa kimbia toka katika eneo hilo la hatari.
.
.DODGE ATTACK - NJIA SALAMA DHIDI YA HATARI
njia hii hutumika dhidi ya adui mwenye upanga, nondo, rungu, fimbo ndefu au kisu. Pia, hutumika dhidi ya mabaunza au watu wenye nguvu nyingi, waliokomaa sana kama chuma, wakati usizuie mapigo yao - kwepa kwa kasi kisha shambulia kwa kasi na kutoka kwa kasi katika himaya ya adui.
.
.SHAMBULIO LA KUSHAMBULIWA - NJIA HATARI SANA
njia hii hutumika kwa kumuangamiza adui kwa kutumia nguvu zake mwenyewe, pia hutumika kwa ajili ya kummaliza adui hari mwenye nguvu nyingi kama vile baunza au mtu mwenye nguvu nyingi sana na mgumu sana na mweuwezo mkubwa sana wa kupina , ili kuwashinda kwa sekunde 3 - 5 tuu.
 

Attachments

  • SGN_11_02_2026_1793588728743.png
    SGN_11_02_2026_1793588728743.png
    1 MB · Views: 1
Back
Top Bottom