Form za vifaa vinavyoitajika shule walizochaguliwa wanafunzi kidato cha tano

Form za vifaa vinavyoitajika shule walizochaguliwa wanafunzi kidato cha tano

Amon Mtekateka

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
1,225
Reaction score
333
Nilikua nataka kujua hvi zile form za vifaa vinavyoitajika kujiunga form 5 zinapatkana wap shule aliyotoka au anakoenda
 
Nilikua nataka kujua hvi zile form za vifaa vinavyoitajika kujiunga form 5 zinapatkana wap shule aliyotoka au anakoenda

Una usongo na shule!
Kuhusu fomu utaipata shuleni ulikotoka..
Wengine waliojaza kwenye selform box za nyumbani kwao watazipata
kikwao kwao...
Nadhani nimeeleweka!
 
asante mdau kwa kunijulisha
maana nimeenda kiskuli wamenizungua
 
Back
Top Bottom