Form6 kuweni makini mnaoaply vyuo msikurupuke.

Form6 kuweni makini mnaoaply vyuo msikurupuke.

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
:yell:Jana nlikua Naangalia F6 Mmmoja anomba chuo Msumbiji na pia Ukiangalia ana PCB ..EEE.Sasa nashangaa Sana Kuona anaomba Fucult of Medicine.Nyie Form 6 Someni Guide Book Kwanza uangalie Vigezo na Masharti Y a Fani Uombayo.Msikurupuke maana Itakula kwenu.
 
I see inasikitisha sana utakuta mtu ana E flat afu anaomba Doctor of medicine Muhimbili !!
Afu ukiwashauri ni wagumu sana kuelewa !!
 
I see inasikitisha sana utakuta mtu ana E flat afu anaomba Doctor of medicine Muhimbili !!
Afu ukiwashauri ni wagumu sana kuelewa !!
kwanza anaiapply vipi wakati minimmum ni 6 cut off points
 
wengi wanaangalia mkopo na vyuo vya serikali - dalili kuwa serikali ingeangalia upya sera yake ya kukopesha maana wazazi walio wengi hawajimudu. kitakachotokea wengi watatemwa kwenye first selection na kupangiwa kozi na vyuo wasivyotegema.
 
Back
Top Bottom