Former Electoral Commission of Kenya Chairman Samuel Kivuitu is Dead

Former Electoral Commission of Kenya Chairman Samuel Kivuitu is Dead

Aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Kenya ambaye ni LL.B Graduate wa Udsm hatunaye tena zikiwa zimebaki siku chache za uchaguzi nchini Kenya,huyu jamaa alikiri kwamba yeye mwenyewe alikuwa hajui nani mshindi japokuwa alimtangaza Kibaki kuwa rais.

Source:Citizen TV Nipashe
RIP Kiviutu ni bahati mbaya ameshindwa kushuhudia mshindi wa kweli Kenya akitangazwa, naomba sana kwa mwenyezi Mungu Kiviutu wetu ashuhudie mshindi halali akitangazwa.
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Kenya ambaye ni LL.B Graduate wa Udsm hatunaye tena zikiwa zimebaki siku chache za uchaguzi nchini Kenya,huyu jamaa alikiri kwamba yeye mwenyewe alikuwa hajui nani mshindi japokuwa alimtangaza Kibaki kuwa rais.

Source:Citizen TV Nipashe

rip kivuitu damu ya wakenya itakulilia daima
 
Ni matumaini yangu wote tumejifunza kutoka kwake kuwa maamuzi ya mtu mmoja yanaweza kuliangamiza taifa.

Ni wajibu wetu kukusamehe, ila naamini serikali ya Kenya haikutakiwa kumuacha uhuru mitaani akidunda kutokana na utendaji wake mbovu wakati wa uchaguzi uliopita!
 
Pumzika lakini uliikwaza Nchi kwa vyeo vya kupewa. Nadhani kuna njia pana waendao ni wengi.

Njia nyembamba waendao ni wachache
Sasa Kivuitu kazi ni kwako............
 
MWENYE ENZI MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI NI WA KUSHUKURIWA KWA KILA JAMBO KWANI YEYE NI MWINGI WA KHERI NA MWENYE HURUMA NA PIA KILA JAMBO LINA MAANA NA SABABU.NA TUJIULIZE BASI NI KWA NINI MUUMBA WETU AMEKATAA MWENYEKITI MCHAKACHUAJI KUSHUHUDIA UCHAGUZI HUU???JE NI SALAAM GANI MAANANI MWENYE HURUMA ANAMTUMIA MWENYEKITI MPYA WA TUME KATIKA KUTENDA NA KUONYESHA HAKI INATENDEKA??NI UJUMBE GANI UMETUMWA KWA WAKENYA WAHANGA WA ULIMI WA KIVUITU?HAKIKA NI MUNGU MUUMBA AJUAYE UHAKIKA WA YOTE NA HASHINDWI NA JAMBO LOLOTE.***KWETU KUBWA KUKUMBUKA KUFIKA KWAKE KUNA NJIA MBILI NA LAZIMA UCHAGUE UNAPITA NJIA GANI UKIWA HAPAHAPA DUNIANI.It is up 2 U.
 
Mungu amuweke anapo stahili,r.i.p Kivuitu.
 
Apunzike huko mbele kwa mbele...........................
Alimwaga damu za watu kwa kumbeba kibaki, ambaye kweli alibebeka kwa kufanya maendeleo............. siyo kama hapa Bongo Makame kajitahidi sana kumbeba Jk lakini amekuwa kama mzigo habebeki hata.

R.I.H. Kivuitu
 
For sure, tumwache Mungu aitwe Mungu. Ujumbe tosha kwa wakenya na wachakachuaji Tzn. Ujumbe kwa Mh Makame, ujumbe kwa m/kiti tume ya uchaguzi 2015.
 
Rest in Peace [h=2]Samuel Kivuitu[/h]
 
Only God can judge him,the blood of an innocent kenyans who died after the last election could lay on him,go go kivuitu
 
Back
Top Bottom