Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh basi mwenzangu we ndo unataka ligi.. Ukweli ni kuwa iyo point yako uloisema mwanzo haiko valid. Bye
mhh jamen tuseme tu lakini tujue kwamba hatujaumbwa sawa dunian .....kuna watu wanene, wafupi warefu n.k. wakati mwingine mtu unaweza kuwa na asili ya unene tu unaweza kufanya diet hadi upate kwashakoo lakini unene utakuja tu
kwako ndio haikuwa valid bibie kwa sababu ya kupenda kwako malumbano na kudhan wakati wote upo sahihi jifunze kupokea challenges. mimi nimesema sio kila aliye mnene ni uzembe wake bali wengine ni asili yao tu, na sikusema wanene wote dunian ni asili yao ss we bidada umetoka huko mbio unaleta ligi
mara ooh na weupe wa mkorogo je nikakujibu mi sijazungumzia hilo..........hukuchoka ukarudi tena oooh na maumbo bandia je? nikakushit ......... sasa eti unajifanya ujumbe wangu haukuwa valid. bibie narudia tena huwa sinaga tabia ya kulumbana na wanawake wenzangu humu so behave youself tena unapotaka kuargue na mtu argue kupitia maandishi yake yale yale usilete fikira zako zingine, mi niongee kingine we ulete ubishi wa jambo lingine ambalo mi sijaliongelea kabisa...kama hukunielewa rudia tena post kusoma.
na hata sitaki kulumbana na mtu humu wala kuanza kutoa maneno ungenishit wala usingeendelea kujibi... kwa heri na si kwamba nimekuqote kwa ugomvi nadhani ulipanick na kunielewa vibaya tu ndugu. kwa heri!