Yes indeed!Nimesoma mahali kwamba steering wheel ya F1 car inagharimu milioni mia Moja na chenjiView attachment 2749234
Hiyo used.Nimesoma mahali kwamba steering wheel ya F1 car inagharimu milioni mia Moja na chenjiView attachment 2749234
The return of Ferrari,..Kesho Singapore.
Inaniuma Mad Max the Max the Super Max ataanza number 11.
Qualify imeisha leo.
View attachment 2751340
Kwahiyo kesho saa 10 muwepo hapa mmekula. Kabisa.
Hahaha Ferrari mnafanyaga vizuri kwenye quali tu ila kwenye race ata podium hamuendi.The return of Ferrari,..
Saa kumi nitakuwepo hapa...
Hii comment naiweka. Utajuta.Kesho ile ubeaten ya Red bull inaenda kutamatika. Ila kwa vile Singapore ni street circuit lolote linaweza kutokea maana safety cars zitakuwa ni nyingi hivyo Max na red bull bado watakuwa na nafasi ya kuendeleza record..
Mkuu kama umefatilia Practices zote tatu na qualifying, Rb imezingua sana. Hii circuit ni ngumu sana ku overtake, Max yuko p11 huku perez yuko p13.Hii comment naiweka. Utajuta.