Formula 1® Grand Prix special thread

Formula 1® Grand Prix special thread

Kiufupi msimu huu Ferrari wana pace kuliko gari zote za timu pinzani ila tu strategies zao ni mbovu.
 
French GP Results
EC79D6E6-EA40-410E-B755-70C3BE10BF48.jpeg
 
Kila la heri kwa Vettel... ingawa hakuweza kushinda ubingwa alipokuwa na Ferrari...
 
Nakubaliana nawe Max na Red bull team watachukua ubingwa mwaka huu,na tuendelee kuomba next year mashindano haya yaje hapo joberg, SA

Wakija South Africa itakuwa safi, tunaweza kujikuna kuona kama tunaweza kuona live wakichuana vikali,

Kushuhudia zile gari zikitembea with an average speed of 250KPH ni joy to watch.

Track ikiwa imenyooka vyema wanagonga mpaka ~380KPH, sasa imagine mzigo wote huo uwe live mbele ya macho yako [emoji1487][emoji1487][emoji1487]
 
Yaani ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Sijui ni kwann mchezo huu kwa nchi zetu za Africa umekosa wafatiliaji wengi. Wakati ndio mchezo ambao una msisimko wa hali ya juu zaidi
 
Back
Top Bottom