MrConveter
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,290
- 2,361
Kiufupi msimu huu Ferrari wana pace kuliko gari zote za timu pinzani ila tu strategies zao ni mbovu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiufupi msimu huu Ferrari wana pace kuliko gari zote za timu pinzani ila tu strategies zao ni mbovu.
[emoji28][emoji28] msimu huu ni wao [emoji119]
Naona msim huu Max tena anachukuaFrench GP Results
View attachment 2302618
Bila shaka Max atachukua tena japo tupo nusu ya msimuNaona msim huu Max tena anachukua
Kina happen huko Hungary, Ferrari wako moto
Leclerc fighting with Russel for the lead.
Lewis alianza slow sana ila race kama 5-6 hiv ameonyesha kitu, nahisi akirudi kutoka break naona 1st podium itamuhusuBila shaka Max atachukua tena japo tupo nusu ya msimu
Absolutely true.. ila bado haiwezi kumzuia Max kuwa world Champion againLewis alianza slow sana ila race kama 5-6 hiv ameonyesha kitu, nahisi akirudi kutoka break naona 1st podium itamuhusu
Nakubaliana nawe Max na Red bull team watachukua ubingwa mwaka huu,na tuendelee kuomba next year mashindano haya yaje hapo joberg, SAAbsolutely true.. ila bado haiwezi kumzuia Max kuwa world Champion again
Nakubaliana nawe Max na Red bull team watachukua ubingwa mwaka huu,na tuendelee kuomba next year mashindano haya yaje hapo joberg, SA
Yaani ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Wakija South Africa itakuwa safi, tunaweza kujikuna kuona kama tunaweza kuona live wakichuana vikali,
Kushuhudia zile gari zikitembea with an average speed of 250KPH ni joy to watch.
Track ikiwa imenyooka vyema wanagonga mpaka ~380KPH, sasa imagine mzigo wote huo uwe live mbele ya macho yako [emoji1487][emoji1487][emoji1487]