Formula 1® Grand Prix special thread

Formula 1® Grand Prix special thread

Laps 57 tu sasa hivi tupo ya 12 na Max the Mad Max Super Max bado anaongoza. Asanteni
 
Screenshot_20240526-211722.png
 
The weekend is here. Ijumaa June 7 hadi Jumapili June 9 tupo Canada, Canadian GP
 
Canadian GP inafanyia kwenye Circuit Gilles Villeneuve, yenye urefu wa Kilometa 4.36, jumla ya laps 70 zitapigwa.
 
Uzuri wa hii circuit ina long straights, kwahiyo opportunities za kuovertake ni nyingi.
Canada_Circuit.png

Kwa mtakao enda, ukipata seat Grandstand 11 na 12 (hapo jirani na kona namba 2) ni pazuri panasababishaga sana drama na ajali. Panaitwaga Senna curve.
images (2).jpeg

Team RB Team Verstappen. Kesho tunakaa pole.
 
Leo kuanzia saa 3 usiku, tunaanza practice. Karibuni
 
Leo inanyesha sana hapa Montreal, tenaa mvua ya mawe, tutegemee matairi Wet (W) leo.
 
Back
Top Bottom