Formula 1® Grand Prix special thread

All in all naona RB watapata upinzani mkubwa toka McLaren kuliko timu nyingine yoyote kwenye dry race...

Leo RB kashinda kwa sekunde 2 dhidi ya McLaren, huku Mercedes akiachwa kwa sekunde 17....
Kuna siku ulisema hii kitu nikaona utani. Ila nimeamini.


Max jana hakua na grid nzuri nadhani alikua no.5 ila kutoka 5 hadi 2 nadhani ni bonge la achievement.

Hivi hii ndio Pole ya kwanza ya Hamilton kwa huu msimu ee?
 
Perez (Redbull) na Russell (Benz) wamefanya vizuri sana leo. Kutoka grid ya 16 na 17 hadi kuja kua nafasi ya 7 na 8 wanahitaji pongezi.
 
We are done. Naanza kuwaogooa McLaren. Aisee wamechukua podium mbili leo. 🫡
 
Ni Spa weekend hii... Tayali Verstappen ana penati ...

Hopefully hatafikia rekodi ya Kimi kwa mwaka huu...
 
Kutakua kutamu sana leo, McLaren wameshazuiwa na FIA kuhusu rear wing yao ambayo waliifanyia modification ikawa inawafanya wawe quick kwenye straight kwa kuongeza downward force, ilikua as if wameweka DRS ON muda wote wapuuzi wale ila sasa wameshapigwa biti sasa sijui kuna penalty.. ni advantage kwa RB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…