Formula 1® Grand Prix special thread

Msivunjike moyo japo tunawapa red bulls ila mclaren watawakimbiza ferari huwezi juu mtu anaweza kushinda kwa point 5 F1 leo ndiotutaona vatell anaweza kutoka alipokuwa na mvua hii.
 
ah alonso na Vatell yote siipendi ila bora Vattel asiendelee na kushika 1 i hope mbele hatomaliza kabisa REDBULL imebaki kidogo webber ampite wanamsemesha kwenye radio makusudi ili mind ipoteze sekunde za kumpita vattel is not fair at all is not over until skinny lady sing in brazil.
 
Nurburgring results
  1. Hamilton
  2. Alonso
  3. Webber
 
Leo Naona watu watarudi humu kama wanamdai Kibunango Lol! Leo Hamilton amewachana Ferari na red bull inavyotakiwa... Vattel ndio kaonesha uzaifu wake upo akiwa kwenye foleni ya watu hawezi kashazoea kuanza mbele.... ila Still Redbull ndio wanabeba. Ila mie Napenda Race ikiwa hivi top 3 ziwe zinakimbizana karibu ndio tunajuwa u hodari wa Racer.... Na ma engineer.
 
Congrats Hamilton on your excellent performance and your engagement to that beautiful girl

 
ILA huyo mkuu sio Nicole Scherzinger au kamtema Nicole ndio kachukuwah uyo kwenye pic?
 
ILA huyo mkuu sio Nicole Scherzinger au kamtema Nicole ndio kachukuwah uyo kwenye pic?

Nadhani ndiye yeye huyo huyo NS. Alimtema lakini akagundua kwamba alifanya makosa sasa anataka kuchukua jumla jumla.

 
Leo nilipenda jinsi Massa alivyoweza kumdhibiti Vettel, hadi alipoweza kumpita kwa msaada wa pit stop!
 
Vettel is an average drive in a great car and Hamilton is a great driver in an average car.
 
Pheew!! At last nimemaliza hii week na furaha tele!!..Hamilton, you're simply the best!! Bravoo McLaren!!
 
Pheew!! At last nimemaliza hii week na furaha tele!!..Hamilton, you're simply the best!! Bravoo McLaren!!

Yaaani we acha tu. Kweli huyu L Hamilitano ni car mkali na anaongeza burudani kwenye hii F1.

Veteel anajua kuendesha gari from front. Hammilton ndio mtalaaama.

Nilipenda ile webber alivyompita hapo hapo naye akajibu. Kama alivyowa kumfanyia J button. Alafu ile alivyoweza kumpita Alonso baada ya laonso kutoa kwenye pitstp na kuchukua usukani. Bila kuchelwa hamiltona kachungulia gap kalitumia.
 
Alafu ile alivyoweza kumpita Alonso baada ya laonso kutoa kwenye pitstp na kuchukua usukani. Bila kuchelwa hamiltona kachungulia gap kalitumia.
Kumbuka tayali Hamilton alikuwa na tyre zenye joto la kutosha, baada ya kwenda pit two laps before Alonso... Otherwise ingekuwa ni story nyingine!
 

Kifupi Hamilton is a good entertainer. Yaani anafanya F1 iwe more fun to watch!!

Vettel kama ulivyosema sharti aanze wa kwanza!!..let's see Hungary GP, my cents to McLaren!!

Wapi Kibs? umeona Alonso alivyoachwa? jamaa atakuwa alimind kweli🙂) ha ha
 
Wapi Kibs? umeona Alonso alivyoachwa? jamaa atakuwa alimind kweli🙂) ha ha
Haaaa haaa haaa... Hamilton alikuwa na grip ndio maana akaweza kumpita Alonso on the outside, ingawa overtake ya outside inatia aibu!
 
Haya sasa Hungary ndo hiyo . 70 laps.

  1. S. vettel
  2. L. hamilton
  3. J. Button
  4. F Massa
  5. Alonso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…