Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ferrari wamefanya vitu vyao! What a race! Kumbukumbu tosha baada ya ushindi wa kwanza katika track hiyo miaka 60 iliyopita!Kesho nasubiria matokeo tu, naona timu yangu no matumaini hata kidogo!!..atleast Kibs unaweza kufurahishwa na Ferrari🙂))
ILA huyo mkuu sio Nicole Scherzinger au kamtema Nicole ndio kachukuwah uyo kwenye pic?
Leo nilipenda jinsi Massa alivyoweza kumdhibiti Vettel, hadi alipoweza kumpita kwa msaada wa pit stop!Leo Naona watu watarudi humu kama wanamdai Kibunango Lol! Leo Hamilton amewachana Ferari na red bull inavyotakiwa... Vattel ndio kaonesha uzaifu wake upo akiwa kwenye foleni ya watu hawezi kashazoea kuanza mbele.... ila Still Redbull ndio wanabeba. Ila mie Napenda Race ikiwa hivi top 3 ziwe zinakimbizana karibu ndio tunajuwa u hodari wa Racer.... Na ma engineer.
Pheew!! At last nimemaliza hii week na furaha tele!!..Hamilton, you're simply the best!! Bravoo McLaren!!
Nurburgring results
- Hamilton
- Alonso
- Webber
Kumbuka tayali Hamilton alikuwa na tyre zenye joto la kutosha, baada ya kwenda pit two laps before Alonso... Otherwise ingekuwa ni story nyingine!Alafu ile alivyoweza kumpita Alonso baada ya laonso kutoa kwenye pitstp na kuchukua usukani. Bila kuchelwa hamiltona kachungulia gap kalitumia.
Yaaani we acha tu. Kweli huyu L Hamilitano ni car mkali na anaongeza burudani kwenye hii F1.
Veteel anajua kuendesha gari from front. Hammilton ndio mtalaaama.
Nilipenda ile webber alivyompita hapo hapo naye akajibu. Kama alivyowa kumfanyia J button. Alafu ile alivyoweza kumpita Alonso baada ya laonso kutoa kwenye pitstp na kuchukua usukani. Bila kuchelwa hamiltona kachungulia gap kalitumia.
Haya sasa Hungary ndo hiyo . 70 laps.
- S. vettel
- L. hamilton
- J. Button
- F Massa
- Alonso
Button can never be secondPredictions? Hungaroring Grand Prix
1.Hamilton
2. Button
3.Vettel