BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Button kashinda bila ushindani mkubwa...Mapumziko yameisha F1 Kesho itakuwaje Button anaanza mbele ila Tuacheni utani Alonso sioni kukamatika Ferrari sizani kama wanataka kuondoka mkono mtupu kwa muda mwingi juzi nilisikia ile Tunes Ya Italy ya nyimbo ya Taifa nikapakumbuka humu.
Bora aondoke tu, Redbull hawaonyeshi kumjali kabisaa
Nilidhani labda angehamia timu nyingine lakini kuhama F1 kabisa?
Alikuwa honest and fair kulinganisha na wengine ambao wamenyang'anywa kabisa their freedom of speech by the corporations involved in the game.