Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa mercedenz kwenye qualification wanafanya vizuri lakini at the end wanachemka.
new season ya F1 inakaribia kuanza.kuna mabadiliko makubwa ya engine kutoka normal aspirited v8 engine to turbo-charged v6.mambo ya mazingira hapa yanataka kutuondolea uhondo.lakini power ya magari itabaki ile ile around 750bhp.[bhp ya gx110 ni kama 180 hivi] engine rev imepunguzwa kutoka 18000rpm mpaka 12,000rpm[gari yako na yangu zina range btn 6000-8000rpm.i cant wait for the first race.
Nina hamu sana na huu msimu mpya, ngoja tuone kama kuna team itamaliza ubabe wa Redbull na Vettel wao
so far RED BULL wana struggle kwenye testing....itakuwa vizuri maanake f1 ilipoteza taste kwa sababu ya RED BULL DOMINANCE