Formula 1® Grand Prix special thread


season hii itakuwa kama RED BULL walivyofanya kwa season nne,total mercedes dominance,lakini i hope itakuwa msimu huu tu kwani msimu ujao MCLAREN,WILLIAMS,FORCE INDIA watatumia hii technology kwa sababu na wao wanatumia mercedes engines.
 
season hii itakuwa kama RED BULL walivyofanya kwa season nne,total mercedes dominance,lakini i hope itakuwa msimu huu tu kwani msimu ujao MCLAREN,WILLIAMS,FORCE INDIA watatumia hii technology kwa sababu na wao wanatumia mercedes engines.

Kwa hiyo unawa-write off Redbull?
 
not now at least.....lets see few races first.

Mmmnh? Rosberg leo hii kwenye column yake ya DailyMail anasema Red Bull's turnaround is incredible, akiamini kabisa jamaa wanaanza kuregain form & pace

Nadhani mpaka ifike Monaco GP then tutajua kama kweli Mercedes watatawala this season, at least huo ndio mtazamo wangu
 
Red bull wana kazi msimu huu

Kazi kubwa na hivi Ricciardo kesho ana penalty, sijui watamalizaje.
Ila kwa mipango hawa jamaa ni best, usishangae kesho wakaja na strategy ya 2 pit stops
 

mkuu umeona kazi hio....mercedes on pole for three consecutive races....this season is between rosberg and hamilton....
vettel hata top ten hayumo.

[TABLE="class: f1-tbl-t3"]
[TR]
[TD="class: pos td-16"]1[/TD]
[TD="class: driver td-3"]Rosberg[/TD]
[TD="class: nat td-3r"] [/TD]
[TD="class: team td-18r"]Mercedes[/TD]
[TD="class: pts td-2r"]1:33.185 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: pos td-11"]2[/TD]
[TD="class: driver td-4"]Hamilton[/TD]
[TD="class: nat td-3r"] [/TD]
[TD="class: team td-18r"]Mercedes[/TD]
[TD="class: pts td-2r"]+0.279 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: pos td-11"]3[/TD]
[TD="class: driver td-4"]Ricciardo[/TD]
[TD="class: nat td-3r"] [/TD]
[TD="class: team td-18r"]Red Bull[/TD]
[TD="class: pts td-2r"]+0.866 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: pos td-11"]4[/TD]
[TD="class: driver td-4"]Bottas[/TD]
[TD="class: nat td-3r"] [/TD]
[TD="class: team td-18r"]Williams[/TD]
[TD="class: pts td-2r"]+1.062 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: pos td-11"]5[/TD]
[TD="class: driver td-4"]Perez[/TD]
[TD="class: nat td-3r"] [/TD]
[TD="class: team td-18r"]Force India[/TD]
[TD="class: pts td-2r"]+1.161 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: pos td-11"]6[/TD]
[TD="class: driver td-4"]Raikkonen[/TD]
[TD="class: nat td-3r"] [/TD]
[TD="class: team td-18r"]Ferrari[/TD]
[TD="class: pts td-2r"]+1.183 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: pos td-11"]7[/TD]
[TD="class: driver td-4"]Button[/TD]
[TD="class: nat td-3r"] [/TD]
[TD="class: team td-18r"]McLaren[/TD]
[TD="class: pts td-2r"]+1.202 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: pos td-11"]8[/TD]
[TD="class: driver td-4"]Massa[/TD]
[TD="class: nat td-3r"] [/TD]
[TD="class: team td-18r"]Williams[/TD]
[TD="class: pts td-2r"]+1.326 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: pos td-11"]9[/TD]
[TD="class: driver td-4"]Magnussen[/TD]
[TD="class: nat td-3r"] [/TD]
[TD="class: team td-18r"]McLaren[/TD]
[TD="class: pts td-2r"]+1.527 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: pos td-11"]10[/TD]
[TD="class: driver td-4"]Alonso[/TD]
[TD="class: nat td-3r"] [/TD]
[TD="class: team td-18r"]Ferrari[/TD]
[TD="class: pts td-2r"]+1.807 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[h=3][/h]
 

Nimeiona Mkuu, Williams watashangaza watu msimu huu
 
msimu huu utapita sana humu HAMILTON anatesa sana....ana gari ya uhakika msimu huu....vettel na redbull yake imegeuka togwa!

Hahahahahahaahahahaaaaaaa, maneno hayo! Eti togwa, lol
 
Hamilton anaweka tabasamu katika uso wangu, ila Massa kanifurahisha zaidi kwa namna alivyoanza
 
As Team Ferrari sina la kusema leo
 
Kazi kubwa na hivi Ricciardo kesho ana penalty, sijui watamalizaje.
Ila kwa mipango hawa jamaa ni best, usishangae kesho wakaja na strategy ya 2 pit stops
Nimependa Ricciardo alivyomtoa kamasi Vettel, ikabidi nimkumbuke Webber
 
Nimependa Ricciardo alivyomtoa kamasi Vettel, ikabidi nimkumbuke Webber

Likewise Mkuu, Vettel race nzima analialia tu, mara sina power mara DRS haifanyi kazi.

Hivi Maldonaldo ana nini kichwani?
 
Safi Hamilton ila Mie napenda Ferrari ingerudi kwenye speed yake ya F1 kila Ferrari itavyofanya vibaya Formula 1 ndio itaelekea kufa au kuja kuvunjika ila Leo HAM na Rosberg wamependezesha Race katika kupitana na kubanana urafiki wao soon utaenda pembeni ile ni kazi.
 
MERCEDES have a better car than all the rest.....msimu huu tegemeeni kuona walichofanya RED BULL misimu minne mfululizo.....unajua wataalam wa formula one wanakwambia kama madereva wakipata gari sawa,mshindi atakuwa ALONSO namba mbili HAMILTON....VETTEL labda wa nne tano,REDBULL kwa misimu zaidi ya mitatu walikuwa na superior car this time its mercedes........go go go go LEWIS HAMILTON
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…