Yes indeed, step by step.... ila bado tuna speed ndogo
ALONSO dereva....siku akipata gari kama mercedes kila race itakuwa fainali.
So is Pazi! Hehehehe!Haswaa, and so is Ricciardo
Kwenye Free Practice 1& 2, Hamilton ameendeleza ubabe kwa kuwa fastest kwenye practice zote mbili, kudos #TeamHamilton
Kuna vijineno Rosberg vimeanza kumtoka vinavyoashiria wivu fulani kwa Hamilton, dogo kaanza kuhisi joto inaonekana, na kama Hamilton ataendelea kushinda na kufungua gap la points kileleni nadhani tutamjua Rosberg in his true colors.
Kwingine Ricciardo kaendelea kuwa superb nyuma ya Mercedes, Ferrari kiwango duni na lile toto nunda Vettel bado lina kimavi kwenye gari lake pamoja na 'baba ake' Chris Horner kuendelea kumtetea, natamani Webber angekuwepo
cc; RRONDO, Kibunango na BelindaJacob
Team Ferrari inanitia uchungu mwaka huu, hiyo gap ya qualification kati yake na Mercedes ni kubwa mno!Ferrari kiwango duni na lile toto nunda Vettel bado lina kimavi kwenye gari lake pamoja na 'baba ake' Chris Horner kuendelea kumtetea, natamani Webber angekuwepo
cc; RRONDO, Kibunango na BelindaJacob
Ila mabingwa wenye wakati mgumu mwaka huu ni Kimi na Vettel, iwapo Massa asingepata blunder kwenye pit ina maana Kimi asingiweza kushika nafasi ya nane.
Ila bado nina imani naye.. hopefully next round atafanya maajabu..