Formula 1® Grand Prix special thread

Formula 1® Grand Prix special thread

Ila mabingwa wenye wakati mgumu mwaka huu ni Kimi na Vettel, iwapo Massa asingepata blunder kwenye pit ina maana Kimi asingiweza kushika nafasi ya nane.

Ila bado nina imani naye.. hopefully next round atafanya maajabu..
 
Kwenye Free Practice 1& 2, Hamilton ameendeleza ubabe kwa kuwa fastest kwenye practice zote mbili, kudos #TeamHamilton

Kuna vijineno Rosberg vimeanza kumtoka vinavyoashiria wivu fulani kwa Hamilton, dogo kaanza kuhisi joto inaonekana, na kama Hamilton ataendelea kushinda na kufungua gap la points kileleni nadhani tutamjua Rosberg in his true colors.

Kwingine Ricciardo kaendelea kuwa superb nyuma ya Mercedes, Ferrari kiwango duni na lile toto nunda Vettel bado lina kimavi kwenye gari lake pamoja na 'baba ake' Chris Horner kuendelea kumtetea, natamani Webber angekuwepo

cc; RRONDO, Kibunango na BelindaJacob
 
Last edited by a moderator:

kwa Hamilton alichemsha Alonso[ingawa namkubali sana alonso] na Button....hao wote washakuwa world champions...na si kwa kuonewa bali kwa wivu wa perfomance ya Hamilton,kama mna gari sawa halafu mwenzio anafanya maajabu lazima utafute maneno ya kujitetea.
 
Alonso na Kim wana kazi moja leo ya kumzuia Massa huku wakijaribu kumkamata na kumpita Bottas... Overtake nyingi zitakuwa kwa wale walio katika nafasi ya nne hadi kumi...
 
kama kawaida Hamilton anaanza vizuri na kuendelea kuongoza kwa 1.9sec....he is way faster than the rest!
mercedes is 1sec faster per lap than all cars.
 
Lap 10 of 66: Lewis Hamilton leads by 2.1 seconds from Nico Rosberg; Mercedes cars over a second faster per lap than the chasing pack; Third-placed Valtteri Bottas ten seconds adrift and being challenged by Daniel Ricciardo; Romain Grosjean running fifth for Lotus ahead of the Ferraris; Both McLarens currently out of the points; Maldonado given stop-go penalty for causing a collision
 
f5673b75-f632-4498-80ab-20c81e1616c0.jpg
 
Ila mabingwa wenye wakati mgumu mwaka huu ni Kimi na Vettel, iwapo Massa asingepata blunder kwenye pit ina maana Kimi asingiweza kushika nafasi ya nane.

Ila bado nina imani naye.. hopefully next round atafanya maajabu..

leo Hamilton ujanja unamwisho...Rosberg anamsumbua balaa
 
Lewis Hamilton wins the Spanish GP! Wow oh wow was that close! The Englishman hangs on for the victory to take the lead of the World Championship #TeamHamilton

cc: BelindaJacob Mourinho Kibunango
 
Last edited by a moderator:
Pole kwa Kimi, kwa bad choice of matairi katika last pit imekukost mbaya...
 
Back
Top Bottom