. ah mpaka sasa mambo si mambo Marcedes wanachezea mitambo nini? Rosberg hapigwi Penalt ila Hamilton sasa hivi angeshapigwa haya tuone atapigwa Penalt?
Hamilton anauwa sana tairi.Ana hasira sana na Rosberg, hivyo ile tabia yake ya kuwa aggressive itamrudia leo, na kupelekea kupush sana gari lake off limit na kinachoweza kumkuta ni ajali ama kuua engine
. ah mpaka sasa mambo si mambo Marcedes wanachezea mitambo nini? Rosberg hapigwi Penalt ila Hamilton sasa hivi angeshapigwa haya tuone atapigwa Penalt?
. ah mpaka sasa mambo si mambo Marcedes wanachezea mitambo nini? Rosberg hapigwi Penalt ila Hamilton sasa hivi angeshapigwa haya tuone atapigwa Penalt?
teamHamilton tushazoea kusikia Nopenalt kwa wengine ila yeye Penalt hasa anaokuwa nao karibu na Marcedes why wnamuongelesha Hamilton anapokaribia kumpita Rosberg?No penalty for Nico
Rosberg Ana Cheat na F1 nzima inajuwa wakubali tu hawampendi Hamilton ikiwemo na timu yake.
Kibunango mwangaMwaka jana matokeo yalikuwa hivi
- Vettel
- Alonso
- Hamilton
- Webber
- Rosberg
Mercedes wameimprove sana mwaka huu, hivyo hawana shaka sana na nafasi mbili za mwanzo! Manake vumbi lipo kwa nafasi ya tatu na kuendelea. Ila siku za race mara nyingi huwa na mishangazo yake, kwa hiyo tusishangae sana matokeo yakiwa kama hivi hapa chini.
- Rosberg
- Vettel
- Alonso
- Battos
Hamilton ana nafasi kubwa leo ya kutomaliza mbio hizi...