Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,327
Rosberg hapitwi tu Leo naona hata Vattel nitataka ampite tu Rosberg.
Hiyo akili wametumia Redbull safi
I hope both Massa and Perez are okay
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rosberg hapitwi tu Leo naona hata Vattel nitataka ampite tu Rosberg.
. hehehehe mbona unanisukumizia sipo hehehe au umeniona na na Drink ya Redbull tehtehteh wewe sindio William sijui Force India hehehehe nimecheka sana Leo juu pale tu sips apende kakoseakana Alonso awe na Rosberg na Vattel ila bora Alonso simchukii Hamilton siku hizi asiwe na moto awe cool tu hii Race hawatomuweza akiplay hasira kila siku atakuwa nje.

Tatizo la Ferrari sijui ni gari zao mbovu au nini? hawaleti upinzani kabisa
Mercedes wapo poa ila watapata upinzani mkubwa kutoka kwa Redbull sasa
Hamilton kwanini ali retire? nilihisi gari lilipata pancha tuu

Redbull wamepata nafasi mbili za podium kwa sababu ya matatizo ya Mercedes na si kwamba wako vizuri kuwachallenge hao jamaa
Ilikua ni zaidi ya pancha Mkuu, gari zote mbili zilianza kupoteza power kwenye lap kama 15 za mwisho
brake failure....mbaya zaidi baada ya kumpita Rosberg tu!
uko sahihi, watu wasijidanganye na matokeo haya...mercedes wako 0.5sec faster kuliko gari inayofuata na leo ni machenical failure tu ndio zimeleta matokeo haya...gari ya Hamilton imesuffer brake failure.
Kuna kipindi gari zote mbili za Mercedes zilikuwa na hitilafu fulani, nikajua hakuna atakayemaliaza kwenye podium
Ila Rosberg sijui ikatokea miujiza gani gari yake ikawa bado ina moto
Hii Mechanical failure inabidi ifanyiwe kazi kabla ya mashindano yajayo, huu mwaka ni wa Hamilton.
uko sahihi, watu wasijidanganye na matokeo haya...mercedes wako 0.5sec faster kuliko gari inayofuata na leo ni machenical failure tu ndio zimeleta matokeo haya...gari ya Hamilton imesuffer brake failure.
Ila kumbuka hizo Mechanical failures ndizo zinaifanya Redbull wasiwe moto chini
Kwahiyo na Mercedes kama hawatarekebisha hilo tatizo watakuwa kama redbull vile
Hehehehe wewe huitakiii mema Marcedes hehehe tunakujuwa umeambiwa uje kuuliza matatizo ya Marcedes na Redbull manake ndio Ofisi zenu zilipo huko mjini kwenu DonDonald lol huitakiii mema gari la Hamilton ila muda mwengine unaona Kama vile wanachokonoa gari la Hamilton tu vipi Rosberg yeye anakuwa fine? Hamilton kawa na moto wakupita mtu mapema na mchacheto wa kupitwa bora awe Kama alivyokuja F1 anaendesha tu kwa raha Sema ilimsaidia Kuwa na Dennis wa McLaren timu nyengine ya DonDonald yeye TeamButton kwenye timu uwe unapendwa na Wenye timu pia sasa hivi Marcedes watamfikiria Rosberg tu aendelea kuibeba Point Hamilton sasa afanye kweli na kina Redbull na timu ya Massa wawe wanampa tabu Rosberg Formula 1 iwe na South Africa na Ghana au Nigeria ili Brother awe na mashabiki damu nzito kuliko maji hehehe.Ila kumbuka hizo Mechanical failures ndizo zinaifanya Redbull wasiwe moto chini
Kwahiyo na Mercedes kama hawatarekebisha hilo tatizo watakuwa kama redbull vile