Formula 1® Grand Prix special thread

Pazi

Umehama #Team RedBull?
. hehehehe mbona unanisukumizia sipo hehehe au umeniona na na Drink ya Redbull tehtehteh wewe sindio William sijui Force India hehehehe nimecheka sana Leo juu pale tu sips apende kakoseakana Alonso awe na Rosberg na Vattel ila bora Alonso simchukii Hamilton siku hizi asiwe na moto awe cool tu hii Race hawatomuweza akiplay hasira kila siku atakuwa nje.
 

Tatizo la Ferrari sijui ni gari zao mbovu au nini? hawaleti upinzani kabisa

Mercedes wapo poa ila watapata upinzani mkubwa kutoka kwa Redbull sasa

Hamilton kwanini ali retire? nilihisi gari lilipata pancha tuu
 
Tatizo la Ferrari sijui ni gari zao mbovu au nini? hawaleti upinzani kabisa

Mercedes wapo poa ila watapata upinzani mkubwa kutoka kwa Redbull sasa

Hamilton kwanini ali retire? nilihisi gari lilipata pancha tuu

brake failure....mbaya zaidi baada ya kumpita Rosberg tu!
 
Tatizo la Ferrari sijui ni gari zao mbovu au nini? hawaleti upinzani kabisa

Mercedes wapo poa ila watapata upinzani mkubwa kutoka kwa Redbull sasa

Hamilton kwanini ali retire? nilihisi gari lilipata pancha tuu

Redbull wamepata nafasi mbili za podium kwa sababu ya matatizo ya Mercedes na si kwamba wako vizuri kuwachallenge hao jamaa

Ilikua ni zaidi ya pancha Mkuu, gari zote mbili zilianza kupoteza power kwenye lap kama 15 za mwisho
 
Redbull wamepata nafasi mbili za podium kwa sababu ya matatizo ya Mercedes na si kwamba wako vizuri kuwachallenge hao jamaa

Ilikua ni zaidi ya pancha Mkuu, gari zote mbili zilianza kupoteza power kwenye lap kama 15 za mwisho

uko sahihi, watu wasijidanganye na matokeo haya...mercedes wako 0.5sec faster kuliko gari inayofuata na leo ni machenical failure tu ndio zimeleta matokeo haya...gari ya Hamilton imesuffer brake failure.
 
brake failure....mbaya zaidi baada ya kumpita Rosberg tu!


Kuna kipindi gari zote mbili za Mercedes zilikuwa na hitilafu fulani, nikajua hakuna atakayemaliza kwenye podium

Ila Rosberg sijui ikatokea miujiza gani gari yake ikawa bado ina moto
 
Hii Mechanical failure inabidi ifanyiwe kazi kabla ya mashindano yajayo, huu mwaka ni wa Hamilton.

uko sahihi, watu wasijidanganye na matokeo haya...mercedes wako 0.5sec faster kuliko gari inayofuata na leo ni machenical failure tu ndio zimeleta matokeo haya...gari ya Hamilton imesuffer brake failure.
 
Kuna kipindi gari zote mbili za Mercedes zilikuwa na hitilafu fulani, nikajua hakuna atakayemaliaza kwenye podium

Ila Rosberg sijui ikatokea miujiza gani gari yake ikawa bado ina moto

katikati ya race mercs zote zilisuffer loss of power ndio maana magari mengine yakawakaribia na baadae gari ya hamilton ikapata brake failure.
 
Hii Mechanical failure inabidi ifanyiwe kazi kabla ya mashindano yajayo, huu mwaka ni wa Hamilton.

aisee imeniuma sana leo. kijana ana gari nzuri mwaka huu lakini anashindwa kumaliza kwa sababu ya machenical failures,unakumbuka australian gp? hay haya yalitokea.....hata sijui Hamilton yuko katika hali gani leo! brake zinafail wakati ashamuweka Rosberg kibra!!!
 
uko sahihi, watu wasijidanganye na matokeo haya...mercedes wako 0.5sec faster kuliko gari inayofuata na leo ni machenical failure tu ndio zimeleta matokeo haya...gari ya Hamilton imesuffer brake failure.

Ila kumbuka hizo Mechanical failures ndizo zinaifanya Redbull wasiwe moto chini

Kwahiyo na Mercedes kama hawatarekebisha hilo tatizo watakuwa kama redbull vile
 
Ila kumbuka hizo Mechanical failures ndizo zinaifanya Redbull wasiwe moto chini

Kwahiyo na Mercedes kama hawatarekebisha hilo tatizo watakuwa kama redbull vile

hapana....kinachowafanya mercedes wawe juu na red bull chini sio machenical failure. machenical failure namaanisha vitu kama brake failure au engine/gearbox failure.

kinachowaweka mercedes juu ni engine yao walivyoiunda msimu huu,system yao ya turbo iko tofauti na gari zote zikiwemo zinazotumia engine za merc kama mclaren. wamefunga turbo yao kwa style mpya ambayo inawapa advantage ya kama 50hp na aerodynamics advantages, mpaka msimu huu uishe ndio magari mengine yataweza kuset kama merc.

merceds wako almost over 0.5sec quicker than the nearest challenger,kama hamna machenical glitch hakuna gari ya kushindana na merceds msimu huu.
 
Ila kumbuka hizo Mechanical failures ndizo zinaifanya Redbull wasiwe moto chini

Kwahiyo na Mercedes kama hawatarekebisha hilo tatizo watakuwa kama redbull vile
Hehehehe wewe huitakiii mema Marcedes hehehe tunakujuwa umeambiwa uje kuuliza matatizo ya Marcedes na Redbull manake ndio Ofisi zenu zilipo huko mjini kwenu DonDonald lol huitakiii mema gari la Hamilton ila muda mwengine unaona Kama vile wanachokonoa gari la Hamilton tu vipi Rosberg yeye anakuwa fine? Hamilton kawa na moto wakupita mtu mapema na mchacheto wa kupitwa bora awe Kama alivyokuja F1 anaendesha tu kwa raha Sema ilimsaidia Kuwa na Dennis wa McLaren timu nyengine ya DonDonald yeye TeamButton kwenye timu uwe unapendwa na Wenye timu pia sasa hivi Marcedes watamfikiria Rosberg tu aendelea kuibeba Point Hamilton sasa afanye kweli na kina Redbull na timu ya Massa wawe wanampa tabu Rosberg Formula 1 iwe na South Africa na Ghana au Nigeria ili Brother awe na mashabiki damu nzito kuliko maji hehehe.
 
DonDonald sababu ya Mercedes kutamba msimu huu imeelezewa hapa chini[nimecopy wired.com]

This year, the entire grid of 22 cars is running 1.6-liter turbocharged V6 engines with a sophisticated hybrid energy system that scavenges energy from the brakes and turbo. F1 engineers are among the sharpest on the planet, and they have thousands of parameters they can tweak and tricks they can use to make these power units as powerful and efficient as possible. Mercedes' best and brightest found a particularly cool one: they essentially cut the turbo in half.
This is very smart. Here's why.
A turbocharger's job is to shove as much air into the engine as possible. An engine is essentially a giant pump, drawing air and fuel to create power and expelling exhaust. More air equals more power, because the more air and fuel you can mix the more shove you get. A turbo, which mounted to the exhaust side of the engine, uses two turbines to increase the volume of air flowing through the engine. One turbine, which is spun by exhaust gases leaving the engine, draws air in. The other compresses fresh air and forces it into the engine's cylinders, where it mixes with the fuel and explodes, generating power.
It works exceptionally well, but there's a drawback to the design. The exhaust gases create insane amounts of heat because of the high temperatures of the explosion inside the engine. Heat is bad for power, as the engine is happiest when you feed it the densest, coolest air possible. Putting the turbocharger next to the air intake heats the air going into the engine, robbing you of power. You could move the turbo, but that means more plumbing, less efficiency, and more weight–all bad things when you're competing at the top tier of motorsport.
What Mercedes' boffins have done, according to Sky Sports F1 technical guru Mark Hughes, is split the turbo in half, mounting the exhaust turbine at the rear of the engine and the intake turbine at the front. A shaft running through the V of the V6 engine connects the two halves, keeping the hot exhaust gases driving the turbo from heating the cool air it's drawing into the engine.
Aside from getting cooler air into the engine and extracting more power (maybe as much as 50 horsepower), this setup also allows Mercedes to keep drivetrain components closer to the center of the car. It also allowed the team to use a smaller intercooler, which cools off the heated air before going into the engine, compared to the rest of the cars.
And what about those other cars?
Even with Mercedes' secret out, there's not much anyone can do about it. Engine designs are essentially locked down for the season, so the only teams that can benefit from it are the teams using Mercedes-Benz engines. But those teams–McLaren, Williams, and Force India–haven't been testing these new V6s as long as the official factory team. It's rumored that Mercedes has been running a version of this engine in secret for almost two years, and even though it supplies engines to other teams, they are, after all, competitors. And now they're on a steep learning curve as Mercedes continues to dominate the pack.
Mercedes nifty turbo trick is just one of many engineering schemes the teams have come up with to maximize power and boost efficiency. And while it's an advantage for now, Mercedes can't rest on its laurels. Each team is finding new ways of exploiting the new engine/hybrid combo, and we've yet to see what tricks the other teams have up their sleeves.

f1 cars za msimu huu zina engine capacity ya 1.6L tu!!! gari zetu za kawaida mitaani kama mark 2 gx 110 zina 2.0L engine....lakini haziwezi hata kusogelea gari ya f1,kweli technology ni pana sana.
 
Last edited by a moderator:
Michael Schumacher has finally awoken from his coma, almost six months after his skiing accident in France.

The Formula One legend has left at Grenoble University Hospital to continue his recovery at a rehab clinic.

According to Bild, Schumacher can now hear voices and is responding to touches.

"He can communicate with his environment, especially his wife Corinna (45) and his children. Now Schumacher's condition is considered stable enough that he no longer needs the help of specialists in Grenoble," reports the paper.

The news that Schumacher was awake was released in a statement by his management company: "Michael has left the CHU Grenoble to continue his long phase of rehabilitation. He is not in a coma anymore," the statement confirmed.

"His family would like to explicitly thank all his treating doctors, nurses and therapists in Grenoble as well as the first aiders at the place of the accident, who did an excellent job in those first months.

"The family also wishes to thank all the people who have sent Michael all the many good wishes to Michael. We are sure it helped him.

"For the future we ask for understanding that his further rehabilitation will take place away from the public eye."

Schumacher was reportedly travelling at speeds of up to 60mph when the accident happened, and is thought to have been saved by his skiing helmet, which split on impact.

However, the racing legend's chief doctor said in March that it was unlikely he would ever fully recover from the accident.

Doctor Gary Hartstein wrote on his blog: "As time goes on, it becomes less and less likely that Michael will emerge to any significant extent."

cc: Kibunango, RRONDO, Pazi, BelindaJacob, Bulldog
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…