Kimi anazidi kijipalia makaa baada ya ajali hii ya leo
Bado mapema, ila naona future yake inazidi kuwa slim katika Ferrari
Haya waengereza wanashangilia nani button au Hamilton? HAM anashangiliwa wa pili sasa.
Alonso Ferrari nayo Leo inauhai angalau kibunango atafurahi hata Mie nafurahia kuona upinzani.
Hehehehe ngoja kibunango akusome alafu aseme Hamilton amalizi race mara inakuwa Hivyo tutabaki Bundi hehehehe.Upinzani wa kubishana na Force India?
Hehehehe ngoja kibunango akusome alafu aseme Hamilton amalizi race mara inakuwa Hivyo tutabaki Bundi hehehehe.
Haa haaa haaaa ......! na, hao waangalizi wameshaanza nongwa zao kwa Ferrari...Hehehehe ngoja kibunango akusome alafu aseme Hamilton amalizi race mara inakuwa Hivyo tutabaki Bundi hehehehe.
Haa haaa haaaa ......! na, hao waangalizi wameshaanza nongwa zao kwa Ferrari...
#TeamFerrari leo tunaweza kuibukia podium