Formula 1® Grand Prix special thread

Formula 1® Grand Prix special thread

Ajali ya Kimmi ilikua mbaya sana, kama Massa asingekua sharp kubrake na kumkwepa jamaa tungekua tunaongea mengine saa hizi
Massa kajitahidi sana, kuepusha head on collision... hata Koyabashi nae kajitahidi.
 
Poor Kimi I hope atakuwa mzima, Leo naona Hali ya hewa hakuna dalili ya mvua upepo tu Race ianze tena vizuri.
 
Nimempenda babu Niki Lauda alivyosema "Formula 1 is over regulated"
 
Zimeanza vibaya ila Hamilton kashachana wa 3 ila zimeanza vibaya Rosberg bye bye ata Relax.
 
Haya waengereza wanashangilia nani button au Hamilton? HAM anashangiliwa wa pili sasa.
 
Alonso Ferrari nayo Leo inauhai angalau kibunango atafurahi hata Mie nafurahia kuona upinzani.
 
Hehehehe ngoja kibunango akusome alafu aseme Hamilton amalizi race mara inakuwa Hivyo tutabaki Bundi hehehehe.
Haa haaa haaaa ......! na, hao waangalizi wameshaanza nongwa zao kwa Ferrari...
#TeamFerrari leo tunaweza kuibukia podium
 
Alonso kafungua kinywa na ugali wa muhogo na sato nini? Anakamuaje na machine inaitika
 
Marcedes wanazidi kumtengenezea Rosberg na Rosberg pit wamcheleweshe.
 
Pazi kwanini Hamilton huwa anatumia muda mrefu kwenye pit kuliko Rosberg? Leo Rosberg kakaa kama 2.6 sec wakati Hamilton katumia 4.1 sec?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom