Formula 1® Grand Prix special thread

Nashindwa kuelewa hadi leo, Vettel alipitwa vipi na Alonso kwani inaonekana walikuwa na speed sawa huku kidogoo ikionyesha Vettel alikuwa na speed zaidi. Ndiyo maana Alonso alishindwa kabisa kumuacha Vettel na wakafukuzana kwa round kadhaa na mwisho, Vettel akachukua nafasi yake ya tano.

Nakubaliana na wengi kuwa Alonso alichezea shilingi kwenye tundu la ...... Nafikiri ni yeye na Hamilton wenye uwezo huo na moyo wa kukubali kufanya risk kama hiyo.

 
Last edited by a moderator:

Couldn't agree more
Ile overtake wenyewe wanasema ilikua 'breathtaking' halafu kwenye kona.
Jamaa walikua na mtanange wa aina yake jana halafu kila mtu akawa analalamika mwenzake anacheza faulo, Vettel kila muda alikua anamuhesabia Alonso akitoka nje ya track, Alonso ndio alikua analia sana tena kwa kitaliano, lol
 

Mkuu, kabla ya kupit kwa mara ya kwanza kabisa, Hamilton alipunguza sana gap la Rosberg, alikua na laps 3 au 4 fastest kuliko wote, Rosberg alivyopit akawa fastest. Kumbuka Hamilton alikua na strategy ya kufanya 1pit stop kabla ya matatizo ya Mkoloni.
Nadhani kwenye kipindi hicho wakati Hamilton anakaribia kupit ndio Mkoloni akalalamika kuwa ana problem ya downshift kwenye gearbox, ndio maana Hamilton baada ya kupit akawa anakata gap la jamaa kwa kasi hiyo.
Kama Mkoloni asingepata tatizo I doubt kama Hamilton angeshinda race ya jana, Mkoloni anakomzidi Hamilton ni kichwani tu.
Ni kweli tunamuonea Rosberg kumuita Mkoloni, aliyefaa ni Vettel au Hulkenberg, lol!
 
Alonzo alikuwa na haki ya kulalamika ingawa baadaye walibaki wanacheka kilio cha Alonzo, hahahaaaa......

Vettel alikuwa anamzuia vibaya sana asimpite na anajulikana kwenye formula 1 kuwa kumpita Vettel, inabidi uwe umejiandaa au ufanye kama Alonso kwa ku-risk.


 
Last edited by a moderator:

Redbull kuna matengenezo wanarekebisha kwenye gari zao hasa gari ya Vettel, na wengi walitarajia jamaa wangetoa upinzani kwenye race ya jana. Kama watafanikiwa kwenye marekebisho Ferrari hawana uwezo wa kupimana ubavu na hawa jamaa, hawana kichwa ya Adrian Newey.
Kwa hiyo kwa jana lilikua swala la muda tu na uzoefu wa Alonso kumhold dogo nunda asipite, ila dogo alikua na speed sana hasa kwenye kona ambako Renault hawana mpinzani.
 
Last edited by a moderator:
Renault anakuja vipi tena hapa? Ninavyofahamu hawa jamaa ni INFINITY na hata imeandikwa hivyo.

Nakiri kuwa kubadilika kwa jina na kuingia kwa RENAULT kumenipita kando na nilikuwa sijafuatilia kwa undani.

Ngoja ni-google kujua kulikoni 🙂

Nimeshapata, kumbe ni Engine za RENAULT zinatumika.... Mie siku zote nilidhani wanatumia Mercedes Benz engine, loo!!!
 

"You have to leave the space, all the time you have to the spce" Alonso
Hahahahahahahahaaa, tena hii gari safari hii si inamzingua, akiwa na gari yenye kiwango swala la kumpita Vettel habari yake muulize Webber, hata Ricciardo kuna siku aliomba msaada kutoka pit lane ili ampite dogo nunda
 
Last edited by a moderator:

Pole Mkuu, karibia gari nyingi zanazotumia machines za Mercedes ziko njema sana safari hii, huoni Williams wanavyotishia heshima ya wakubwa.
Horner kawalalamikia sana Renault kama week tatu hivi zilizopita mpaka boss wa Renault kwenye kitengo cha kutengeneza Engine za Redbull kaachia ngazi
 

gari ya VETTEL ni RBR RED BULL RENAULT....INFINITY[gari za USA] ni sponsor tu
 

kwa mujibu wa ALONSO, Vettel hajafikia hata level ya Hamilton.....Alonso kasharace na Hamilton tena wakiwa na magari ya kawaida na kusumbua sana,lakini Vettel kapata gari kimeo anahangaika sana msimu huu,ndio maana anasema kama Vettel angetoa upinzani mwaka huu na gari yake ndio angefikia level ya Hamilton....

F1 sasa hivi,pound for pound....namba moja ni ALONSO akifuatiwa kwa karibu sana na HAMILTON,hawa ndio unaweza kuwapa gari ya kawaida na wakafanya wonders!
 

hata ferrari msimu huu inazingua sema ALONSO ni mkali,VETTEL bila gari nzuri hamna kitu....na ndio ,maneno hata ALONSO kasema kwenye video hapo juu.
 

Vettel ameshindwa kujiadjust vizuri na hii gari mpya.
Msimsahau kijana Daniel Riciardo ambaye so far amekuwa akionekana kwenye podium na anatumia gari sawa na la SV!
 
Vettel ameshindwa kujiadjust vizuri na hii gari mpya.
Msimsahau kijana Daniel Riciardo ambaye so far amekuwa akionekana kwenye podium na anatumia gari sawa na la SV!

Naomba kutofautiana Mkuu, gari ya Vettel haiko vizuri kama ya Ricciardo, kina Horner kila siku wanalisema hili, kuna settings na adjustments haziko vizuri kwa gari yake.
Anaweza asiwe na kipaji kama Alonso na Hamilton lakini Vettel ni moja kati ya madereva aggressive akiwa anarace, ana winning mentality na akiwa na gari lenye kiwango he never stop pushing.
 
Ni kweli tunamuonea Rosberg kumuita Mkoloni, aliyefaa ni Vettel au Hulkenberg, lol!
Leo Hamilton ameungana na wewe kusema kuwa Rosberg sio Mkoloni kamili, hivyo anategemea kupata support zaidi yake wakati watapokwenda Ujerumani katika next race.

Alikwenda mbali zaidi kuhusu Mkoloni huyo kuwa amehusu Ufinni, Umonaco na Ujerumani, kiasi kwamba hata waipokuwa wadogo Mkoloni alishindwa kusimama kwenye bendera ya Ujerumani.

Hata hivyo hii inaonekana kuwa ni mind game ya Hamilton dhidi ya Mkoloni, licha ya Mkoloni kwa wakati tofauti kutokuwa na msimamo wa wapi hasa ni kwao.

Kama kawaida Hamiton alidai kuwa yeye ana usongo sana na race, kuliko Mkoloni, ambaye amekulia Monaco kwenye maisha ya kivigogo ilhali yeye amekulia katika maisha ya dhiki ya kulala kwenye kochi!

Source: SkySports F1
 
Ilikuwa ni baada ya Vettel kutoka pit, alipokutana na Alonso, Hivyo Alonso alikuwa na advantage ya joto kwenye matairi yake kuliko Vettel. Na hata matairi ya Vettel yalipopata joto la kutosha aliweza kumfikia tena Alonso na kutupa burudani ya aina yake...
 
Http://m.autosport.com/news/report.php/id/114955

Reigning Formula 1 world champion Sebastian Vettel says it would be "stupid" to rule himself out of this year's title race until it is mathematically impossible to retain his crown.

Vettel lies 95 points and five places adrift of championship leader Nico Rosberg after nine races in 2014, but there is still a maximum of 275 on offer across the balance of the season, including 50 for the winner of the controversial double-points finale in Abu Dhabi.

Four-time world champion Vettel says he has not been focusing on the championship during Red Bull's difficult start to the season, but will not give up on overhauling the dominant Mercedes drivers until the points gap is too great.

"If you look at points and mathematics we can still fight for the world championship, so it would be stupid to say we're out," Vettel said when asked if he conceded the championship race is over from his perspective.

"Being realistic, Mercedes is in a position where it can win every race and get a one-two, without having people bother them too much unless things are going wrong.

"Our target is to catch up and beat them sooner rather than later, but the gap is very big so therefore it's difficult to close it in a short amount of time.

"I've never really stressed at any point in the season to focus too hard on the championship, I've really gone race to race and tried to get the best out of myself and the car.

"The gap is very big, and we'll struggle to catch up in big steps, but the goal is there for the whole team to progress and do a better job."

Ferrari's Fernando Alonso is 17 points and two places better off than Vettel in the title race, but the double world champion reckons the championship is a lost cause already given the pace advantage of the Mercedes.

When asked during the British Grand Prix whether he has already given up on the championship Alonso said: "Yes. I think if anyone apart from Rosberg and Hamilton tells you that they believe they can be world champion this year they will lie, and I
don't like to lie."
 
Ukweli ubaki ukweli tu, Kwa hali ilivyo sio rahisi kwa timu nyingine kudai kuwa wana ubavu wa kuchukua ubingwa! Hata FRIC za Mercedes zikipigwa ban naona bado watakuwa na nafasi kubwa ya kushinda ubingwa...
 
Ukweli ubaki ukweli tu, Kwa hali ilivyo sio rahisi kwa timu nyingine kudai kuwa wana ubavu wa kuchukua ubingwa! Hata FRIC za Mercedes zikipigwa ban naona bado watakuwa na nafasi kubwa ya kushinda ubingwa...

Mpaka sasa ni Mc Laren tu ndio wameconfirm kuachana na FRIC. Team zingine bado zinahoji kama kweli FRIC haina compliance na FIA regulations.
Kikubwa kwa team kama merecedes wako vizuri na engine yao na hata chasis iko poa kiasi kwamba wanamanage kuachieve wins za zaidi ya 40sec kwenye race. Infact kuna teams zingine zinazungukwa mara kadhaa kwenye race moja na merc.
Wengine wanatakiwa kurudi kwenye drawing board labda 2015 wataleta compe, bila hivyo tujiandae kushuhudia msimu wa mercedes kusihnda. Na kubakia na entertainments za Alonso na Vettel wakigombania 5 position hahaha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…