Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati mkiendelea kumsifia Hamilton, napenda mkumbuke overtake ya Alonso kwa Vettel. Overtake hii ndio iliyokuwa bora kwa siku ya jana.
Hapa chini ni details zake...
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]Speed[/TD]
[TD]293Km/h[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Gear[/TD]
[TD]7th[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Risk[/TD]
[TD]High[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Adrenaline[/TD]
[TD]Max[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Aidha, Alonso mwenyewe amekiri kuwa sio rahisi tena kurudia overtake hiyo.
Wakati mkiendelea kumsifia Hamilton, napenda mkumbuke overtake ya Alonso kwa Vettel. Overtake hii ndio iliyokuwa bora kwa siku ya jana.
Hapa chini ni details zake...
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]Speed[/TD]
[TD]293Km/h[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Gear[/TD]
[TD]7th[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Risk[/TD]
[TD]High[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Adrenaline [/TD]
[TD]Max[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Aidha, Alonso mwenyewe amekiri kuwa sio rahisi tena kurudia overtake hiyo.
Hahahaaa, nyie watu na hizi lugha zenu! Sikujua mna maanisha nini kwani nimerukia ukurasa wa mwisho.
Ila kwa kuunga dots nikagundua mna maanisha Mgeruman. Ila ukweli ni kuwa amekulia Monaco na maisha yake mengi kaishi huko. Mkoloni haswa ni Sebastian Vettel 🙂
Nakubaliana na wewe kuwa jana Hamilton alikuwa anakwenda speed ya ajabu sana. Nakumbuka kabla Mkoloni hajaharibikiwa gari, alianza kusogelewa kwa speed ya 1 secondkwa mzunguko na mwanzo walikuwa na tofauti ya sekunde 5 ila hadi gari linakaribiwa kuharibika, tofauti ilishakuwa kama 2 seconds.
Alimpita mshikaji wake wa zamani kama vile jamaa siyo dereva.
Hata hivyo Vettel na Alonzo walifanya Show yao nzuri tu kugombea nafasi ya tano.
Couldn't agree more
Ile overtake wenyewe wanasema ilikua 'breathtaking' halafu kwenye kona.
Jamaa walikua na mtanange wa aina yake jana halafu kila mtu akawa analalamika mwenzake anacheza faulo, Vettel kila muda alikua anamuhesabia Alonso akitoka nje ya track, Alonso ndio alikua analia sana tena kwa kitaliano, lol
Nashindwa kuelewa hadi leo, Vettel alipitwa vipi na Alonso kwani inaonekana walikuwa na speed sawa huku kidogoo ikionyesha Vettel alikuwa na speed zaidi. Ndiyo maana Alonso alishindwa kabisa kumuacha Vettel na wakafukuzana kwa round kadhaa na mwisho, Vettel akachukua nafasi yake ya tano.
Nakubaliana na wengi kuwa Alonso alichezea shilingi kwenye tundu la ...... Nafikiri ni yeye na Hamilton wenye uwezo huo na moyo wa kukubali kufanya risk kama hiyo.
Redbull kuna matengenezo wanarekebisha kwenye gari zao hasa gari ya Vettel, na wengi walitarajia jamaa wangetoa upinzani kwenye race ya jana. Kama watafanikiwa kwenye marekebisho Ferrari hawana uwezo wa kupimana ubavu na hawa jamaa, hawana kichwa ya Adrian Newey.
Kwa hiyo kwa jana lilikua swala la muda tu na uzoefu wa Alonso kumhold dogo nunda asipite, ila dogo alikua na speed sana hasa kwenye kona ambako Renault hawana mpinzani.
Alonzo alikuwa na haki ya kulalamika ingawa baadaye walibaki wanacheka kilio cha Alonzo, hahahaaaa......
Vettel alikuwa anamzuia vibaya sana asimpite na anajulikana kwenye formula 1 kuwa kumpita Vettel, inabidi uwe umejiandaa au ufanye kama Alonso kwa ku-risk.
Renault anakuja vipi tena hapa? Ninavyofahamu hawa jamaa ni INFINITY na hata imeandikwa hivyo.
Nakiri kuwa kubadilika kwa jina na kuingia kwa RENAULT kumenipita kando na nilikuwa sijafuatilia kwa undani.
Ngoja ni-google kujua kulikoni 🙂
Nimeshapata, kumbe ni Engine za RENAULT zinatumika.... Mie siku zote nilidhani wanatumia Mercedes Benz engine, loo!!!
Renault anakuja vipi tena hapa? Ninavyofahamu hawa jamaa ni INFINITY na hata imeandikwa hivyo.
Nakiri kuwa kubadilika kwa jina na kuingia kwa RENAULT kumenipita kando na nilikuwa sijafuatilia kwa undani.
Ngoja ni-google kujua kulikoni 🙂
Nimeshapata, kumbe ni Engine za RENAULT zinatumika.... Mie siku zote nilidhani wanatumia Mercedes Benz engine, loo!!!
Redbull kuna matengenezo wanarekebisha kwenye gari zao hasa gari ya Vettel, na wengi walitarajia jamaa wangetoa upinzani kwenye race ya jana. Kama watafanikiwa kwenye marekebisho Ferrari hawana uwezo wa kupimana ubavu na hawa jamaa, hawana kichwa ya Adrian Newey.
Kwa hiyo kwa jana lilikua swala la muda tu na uzoefu wa Alonso kumhold dogo nunda asipite, ila dogo alikua na speed sana hasa kwenye kona ambako Renault hawana mpinzani.
"You have to leave the space, all the time you have to the spce" Alonso
Hahahahahahahahaaa, tena hii gari safari hii si inamzingua, akiwa na gari yenye kiwango swala la kumpita Vettel habari yake muulize Webber, hata Ricciardo kuna siku aliomba msaada kutoka pit lane ili ampite dogo nunda
kwa mujibu wa ALONSO, Vettel hajafikia hata level ya Hamilton.....Alonso kasharace na Hamilton tena wakiwa na magari ya kawaida na kusumbua sana,lakini Vettel kapata gari kimeo anahangaika sana msimu huu,ndio maana anasema kama Vettel angetoa upinzani mwaka huu na gari yake ndio angefikia level ya Hamilton....
F1 sasa hivi,pound for pound....namba moja ni ALONSO akifuatiwa kwa karibu sana na HAMILTON,hawa ndio unaweza kuwapa gari ya kawaida na wakafanya wonders!
Vettel ameshindwa kujiadjust vizuri na hii gari mpya.
Msimsahau kijana Daniel Riciardo ambaye so far amekuwa akionekana kwenye podium na anatumia gari sawa na la SV!
Leo Hamilton ameungana na wewe kusema kuwa Rosberg sio Mkoloni kamili, hivyo anategemea kupata support zaidi yake wakati watapokwenda Ujerumani katika next race.Ni kweli tunamuonea Rosberg kumuita Mkoloni, aliyefaa ni Vettel au Hulkenberg, lol!
Ilikuwa ni baada ya Vettel kutoka pit, alipokutana na Alonso, Hivyo Alonso alikuwa na advantage ya joto kwenye matairi yake kuliko Vettel. Na hata matairi ya Vettel yalipopata joto la kutosha aliweza kumfikia tena Alonso na kutupa burudani ya aina yake...Nashindwa kuelewa hadi leo, Vettel alipitwa vipi na Alonso kwani inaonekana walikuwa na speed sawa huku kidogoo ikionyesha Vettel alikuwa na speed zaidi. Ndiyo maana Alonso alishindwa kabisa kumuacha Vettel na wakafukuzana kwa round kadhaa na mwisho, Vettel akachukua nafasi yake ya tano.
Ukweli ubaki ukweli tu, Kwa hali ilivyo sio rahisi kwa timu nyingine kudai kuwa wana ubavu wa kuchukua ubingwa! Hata FRIC za Mercedes zikipigwa ban naona bado watakuwa na nafasi kubwa ya kushinda ubingwa...When asked during the British Grand Prix whether he has already given up on the championship Alonso said: "Yes. I think if anyone apart from Rosberg and Hamilton tells you that they believe they can be world champion this year they will lie, and I
don't like to lie."
Ukweli ubaki ukweli tu, Kwa hali ilivyo sio rahisi kwa timu nyingine kudai kuwa wana ubavu wa kuchukua ubingwa! Hata FRIC za Mercedes zikipigwa ban naona bado watakuwa na nafasi kubwa ya kushinda ubingwa...