Formula 1® Grand Prix special thread

Helmet ya Mkoloni Nico imekaa vema na nyota zao nne, kinachofurahisha ni kuwa Ferrari wanaonyesha mafanikio makubwa huko ujerumani.
 
Helmet ya Mkoloni Nico imekaa vema na nyota zao nne, kinachofurahisha ni kuwa Ferrari wanaonyesha mafanikio makubwa huko ujerumani.

FIFA walimbania tu asiweke na kombe la dunia hapo, wakati wewe unaona Ferrari mie naona Redbull wameanza kucatch up na Mercedes
 
Hivi Mdhamini wa Tanganyika ataweza kumkaribia Mkoloni Nico?
 
Mourinho, Red bull ni juhudi binafsi ya Ricciardo ila kiteam naona Ferrari wapo njema zaidi ya Red bull! Nimecheck gap ya Ricciardo na Vettel nikashangaa, ila gap ya Mkoloni dhidi ya Alonso na Kimi nikatabasamu! Saa tisa sio mbali tutajua ....
 
Last edited by a moderator:
Yap, Baada ya ukoloni wa Ujerumani si Tanganyika ikawa chini ya udhamini wa Uingereza? au nimesahau Historia? Naona Timu ya Tanzania imeshaingia Glasgow

Lol
Mkoloni yuko vizuri sana, Mdhamini itabidi ajishike haswaa kama anataka kushinda nyumbani kwa mkoloni na aache uhuni uhuni kama wa jana kwenye P2 ingawa ningependa kuona dereva mwingine ashinde hii GP kama Ricciardo vile maana hii Mercedes 1,2 imekua too much sasa
 
Susie Wolf ni yupo kwenye F1 au amepewa nafasi ya kujifurahisha na Team ya kina Massa? Suisse Wolf ni mwanamke atakuwa wa kwanza kuendesha F1? Yoyote mwenye jibu Naomba.
 
Hamilton namuaminia ila hivyohivyo na wasiwasi naye kwenye pit huko Leo Mkoloni anayo kazi Yule Bwana Harusi.
 
Susie Wolf ni yupo kwenye F1 au amepewa nafasi ya kujifurahisha na Team ya kina Massa? Suisse Wolf ni mwanamke atakuwa wa kwanza kuendesha F1? Yoyote mwenye jibu Naomba.

Sussie Woff mke wa Mercedes Principal Toto Woff, ni test driver wa Williams. Mwanamke wa mwisho kurace kwenye GP simkumbuki jina ila ni miaka 22 iliyopita so Sussie hatakua wa kwanza. Anatafuta nafasi ya kushindana na yeye kwenye F1 kama ataipata maana kwa maelezo ya jana hao Williams wana mikataba na kina Massa na Bottas mpaka mwakani. Kama umemkubali Mzee msaidie apate team hata Marrusia huko
 
Hamilton namuaminia ila hivyohivyo na wasiwasi naye kwenye pit huko Leo Mkoloni anayo kazi Yule Bwana Harusi.

Mmmmnh, kwenye Free Practices Mkoloni kaonekana yuko vizuri sana, kijana wetu ndio ameonesha dalili za kustruggle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…