Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,468
- 2,349
- Thread starter
- #781
Haaaa haaaa haa! haya Mkuu, naona dongo kwa aina yake kwa #TeamFerrari ... Vettel bado kukubali kama keshapoteza ubingwa wake!Na kubakia na entertainments za Alonso na Vettel wakigombania 5 position hahaha...

