Safi sana SV!! RedBull wametengeneza punda badala ya Farasi! This is now a good year for F1 kuwepo kwa upinzani kwa Merecedes kutaleta muamko kwenye game
Hao wapuuzi tu. LH si wa kwanza kufanya hivyo ... Akina Vettel, Alonso .. enzi zao ilikuwa hivyo hivyoWakuu naona watu hawaishi kumuandama LH44,
cc; Maria Roza LoyalTzCitizen Cynic Gogle EX COP mpondamali TONGONI babu M Humble African kkenzki barafuyamoto @r-baharia juan david and the usual suspects
Lewis Hamilton slammed for spraying hostess in the face with champagne Lewis Hamilton slammed for spraying hostess in the face with champagne after winning Chinese Grand Prix | Daily Mail Online
Wakuu naona watu hawaishi kumuandama LH44, walianza kina Horner baada ya Lewis kushinda Australian GP, sasa kuna vilaza wanajiita Object, eti wamelaani kitendo cha Lewis kushangilia ushindi wake kwa kummwagia 'grid girl' champagne
Nilipoona hii habari nikajiuliza kama hawa watu wapo timamu, hivi je hii ni mara ya kwanza kitendo hiki kinafanyika kwenye F1? Je Hamilton ni wa kwanza kufanya hivyo? Au imekua ishu kwa sababu kafanya Hamilton? Mbona watu wanakosa sana raha kumuona Lewis akiestablish utawala wake kwenye F1 fair and square?
View attachment 243238
View attachment 243239
View attachment 243241
View attachment 243242
cc; Maria Roza LoyalTzCitizen Cynic Gogle EX COP mpondamali TONGONI babu M Humble African kkenzki barafuyamoto @r-baharia juan david and the usual suspects
Lewis Hamilton slammed for spraying hostess in the face with champagne Lewis Hamilton slammed for spraying hostess in the face with champagne after winning Chinese Grand Prix | Daily Mail Online
Wivu unawasumbua.. Halafu unajua Lewis ni single kwa ss ngoja nijipitishe pitishe hahaaa
Teh teh teh, ila ujue tu jamaa hapendi distance relationship, itabidi kila race tuwe tunakuona unampet-pet garage kwake