Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,327
Safi sana SV!! RedBull wametengeneza punda badala ya Farasi! This is now a good year for F1 kuwepo kwa upinzani kwa Merecedes kutaleta muamko kwenye game
Redbull na Horner wao wanatishia kujamba wakati wanahara, wajitoe sasa wawachukue na McLaren, Marrussia na Sauber wakaanzishe ligi yao
















